TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hiyo 'muda huu' ina maana sana. Kwa nini muda ule ukose umeme bila taarifa? Kutwa nzima hakuna umeme, "because of why?" Shida ilikuwa maji sasa mvua zinanyesha, kama shida Kalemani hakukarabati, mama keshakupa trioni 4 ufanye ukarabati, bado umeme umekuwa wa mazingaombwe, mpaka uimbiwe ndo uwake.
Mleta mada nadhan umeskia, maeneo kibao yana umeme hapo dar mda huu
 
Kuna Watu hufikiri Mtaa wanaoishi ndiyo Dar es Salaam peke yake huu umeme umekatika Mtaa wenu tu huku Upanga upo
 
20230316_015853.jpg

😅
 
Back
Top Bottom