Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mkuu upo O'Bay!?Mimi napoishi uneme umeimarika sana awamu hii yani ukikatika haumaliza saa 2 umerudi napo ni nadra sana kukatika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo O'Bay!?Mimi napoishi uneme umeimarika sana awamu hii yani ukikatika haumaliza saa 2 umerudi napo ni nadra sana kukatika
Famchezo ndo nini!!?Hujawasikia Bakita wamekataza kufamasihara na kiswahili[emoji1]
Na mzee wake akatoka na EP watu wazuri hawafiMr Kambaulaya wala hajali nyie kukosa umemw, kama 'vipi kamuueni'
Moja ya jibu lenye dhereu kwa MTU aliyepewa dhamana kutumikia watu
Mleta mada nadhan umeskia, maeneo kibao yana umeme hapo dar mda huu
Em tuoneUpo!
Ubungo ya songea au?Ubungo upo
Utakua unafanya kazi Tanesco wewe sio bure
Staff wa Tanesco 😅Utakua unafanya kazi Tanesco wewe sio bure
View attachment 2552898
[emoji28]
🤣🤣🤣🤣Unataka tujue kuwa upo uk unauza miwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Staff wa Tanesco naishi chanika mkuu!Unataka tujue kuwa upo uk unauza miwa [emoji23][emoji23][emoji23]