Kwenye nguzo ya umeme kuna shoti tangu jana napiga simu ya emmergency tanesco haiiti. Niko morogoro mazimbu road, kibao cha shule. Msaada mnatusaidiajeee
Ndugu mteja ,ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo,tafadhali onesha taarifa kamili zifuatazo kwa huduma bora.
1. Jina
2. mkoa
3. Wilaya
4. Eneo/mtaa
5. Namba ya simu
6. Mita namba
7.Kitu maarufu
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU: 0748550000
WhatApp: 0758346869
^HS
 
Habari za Leo Tanesco nahitaji kuingiza umeme . Umbali wa kufikia nyumba yangu ni nguzo nne je naweza kulipa Tshs ngapi kwa gharama naomba majibu haraka nahitaji kuingiza umeme kupisha pango la nyumba baada ya siku 3.
 
Habari za Leo Tanesco nahitaji kuingiza umeme . Umbali wa kufikia nyumba yangu ni nguzo nne je naweza kulipa Tshs ngapi kwa gharama naomba majibu haraka nahitaji kuingiza umeme kupisha pango la nyumba baada ya siku 3.
Natanguliza shukrani naomba majibu haraka iwezekanavyo.
 
Habari za Leo Tanesco nahitaji kuingiza umeme . Umbali wa kufikia nyumba yangu ni nguzo nne je naweza kulipa Tshs ngapi kwa gharama naomba majibu haraka nahitaji kuingiza umeme kupisha pango la nyumba baada ya siku 3.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, Zifuatazo ni gharama halisi za kuunganishiwa umeme kuanzia tarehe 5/01/2022
• Gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
• Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
• Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
• Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
• Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
• Umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/= kama ilivyoelekezwa na EWURA
Gharama halisi utazipata bada ya surveyor kufika na kufanya tahmini kwenye eneo lako.^OK
 
Leo tarehe 22/04 saa tano na dakika kumi na tatu baadhi ya maeneo Mbagala hayana umeme tangu jana tarehe 21/04 alasiri, Idd njema Tanesco.
 
"..........mvua zimezidi, zimeboamoa kingo za mito na mabwawa ya kuzalishia umeme, wakazi wa danganyika muwe watulivu katika kipindi wakati wataalamu wanaposhughulikia tatizo hilo....."

Wasipokuambia hivyo, watasema miundo mbinu haikuwa inakarabatiwa enzi za Jiwe, ivyo inafeli feli sana, hata hivyo, tumeshakwapua 1.7trillion, tukikumbuka, tutawarekebishia
 
Ni kweli wataalamu wetu wa ndani hawakulala wamekesha na waziri msikivu wakishughulikia jambo letu ili tufurahie Iddi kwa amani na utulivu.
 
Mods kuna mambo mengi sana hamyazuii pamoja na kuwa hayana maana yoyote, hata hivyo Tanesco wamerudisha umeme.
Mods heshimuni distress calls.
 
Wakuu, blank screen katika "customer interface unit", shida ni nini??

LED inawaka.
 
Wakuu, blank screen katika "customer interface unit", shida ni nini??

LED inawaka.
Habari ndugu mteja, ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, ili tuweze kufungua taarifa yako tafadhali onesha taarifa kamili zifuatazo kwa huduma bora.
1. Jina
2. mkoa
3. Wilaya
4. Eneo
5. Namba ya simu
6. Tatizo
7. Mita namba
8.Kitu maarufu

TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
WhatApp: 0758346869
^HS
 
Sasa mkuu kila swali unaloulizwa unajibu the same!!!

Haina maana sasa kufungua huu uzi!!!

Toa majibu ya kiufundi humu, hata mtu mwingine akipata tatizo kama hilo ajue ni kitu gani kimetokea, ili kisitokee afanye kitu gani.
 
Mkimalizana na tanesco karibuni dollrubii_decors

SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Habari, hivi inachukua muda gani kuwekewa umeme? Maana malipo kupitia control no yamefanyka toka ijumaa asubuh wiki iliyopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…