mtokeibwima
Member
- Aug 2, 2014
- 72
- 36
Mmetangaziwa?Hapa Arusha jana wamekata anzia saa mbili asubuhi hadi saa tano usiku, na asubuhi hii wamekata tena. Niko hapa natukana kimoyo-moyo.
wapi?hapa nilipo wamekata toka usiku mpaka Sasa hamna umeme
wapi?Huku nishasahau kama bongo kuna tatizo la umeme.
Nadhani kuna maeneo na maeneo.
Habari ndugu mteja, ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, gharama hiyo ya shilingi 27,000 ni kwa wateja wetu wa vijijini wanao hudumiwa na mradi wa REA, kama eneo lako halipo chini ya mradi huo utalipia gharama za kawaida za kuunganishwa na huduma ya umeme, tunaomba kusisitia kuwa malipo yote ya TANESCO hufanyika kupitia control namba. ^HSHabari. Bei ya kuunganisha umeme pembezoni mwa miji ambako ni sawa na kijijini ni shilingi ngapi? Maana ndugu yangu ameomba umeme hapo Igingilanyi Iringa mpakani na Nduli ambako watu wamehamia baada ya kuhamishwa na upanuzi wa uwanja wa ndege lakini amepewa bill ya malipo ya manispaa. Naomba ufafanuzi maana yeye alijua ni 27,000/= lakini kaletewa bill ya 360,960/= kiasi kwamba amekwama kulipa