Tanesco na body ya tanesco mmeshidwa uzalendo na haki elimu idara kunga wateja kilichopo urasimu na ukitlitimba ubinafsi .
 
Mboni tokeni ya luku inagoma kuingia? Network Majanga au?
 
Mboni tokeni ya luku inagoma kuingia? Network Majanga au?
 
kwa kweli viongozi wa Tanesco jitahidini kuwa na ubunifu. ni hili ni Jukumu la viongozi wa ngazi ya juu. mara nyingi mtu wa chini kazi yake mara nyingi ni kujitahidi kutekeleza maagizo n.k kiongozi wa juu ni kuja na MAONO, hivyo wakurugenzi wasaidizi na mkurugenzi mkuu, kujeni na MAONO. ntawapa mfano wa sekta ya maji,
Singida mjini hakuna vyanzo vya maji, Sekta ya maji walikuja na wazo la bwawa, sasa hivi maji yapo
Dodoma hakuna vyanzo vya maji vya juu ya ardhi, Sekta ya maji wakabuni visima sasa hivi maji yapo
Dar es salaam bahari ina chumvi, sekta wakaenda mlandazi , sasa hivi maji yapo Dar.
Wakuu, ukiwa kiongozi mkuu, kufanya kazi, sio kuruhusu file liende sijui uhasibu , au utumishi N.K ndo ukajishasabia umefanya kazi, hapana , jukumu lako kuu, ambalo linafanya ulipwe mshahara mkubwa ni MAONO. kujeni na maono ya solar power, wind power, hydro power N.K.
mbona baadhi ya taasisi za dini wanazalisha umeme wao, (fuatilieni) tena kuna miradi mingine ya dini wameshindwa kukamilisha ambayo tanesco mngeimalizia kwa fedha kidogo tu na kuongeza uzalishaji wa umeme kwa nchi.
kuna maeneo mengi ambayo hamyafanyii kazi ambayo taasisi binafsi zimefanikiwa japo kwa MEGAWATT chache ambazo jamii inapata tafsiri kuwa nyinyi ni WAZEMBE, na hamn viongozi wenye MAONO
 
Kazi iendelee....
Your browser is not able to display this video.
 
Umelipa TSh 2,900 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22114568433. Muamala: 83853267696. Salio jipya ni TSh 62. Jumla ya Makato TSh 40. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 6. 05/10/23 20:56.

Mpaka SASA sijapata token kuna Shida gani?
 
Natoa maalalamiko kwa Tanesco hapa Mwanza jiji mtaa wa igelegele karibu na jengo la Tanapa

Jana mchana watu wa Tanesco walipitisha line ya umeme kwanda kwa mteja kwenye kiwanja

Na barabara wameacha ili kukwepa umbali ya nyumba ya mtaja wao
Has sehemu zote zimepimwa

Basi nilimweleza mkuu wa msafara wa Tanesco anayeitwa philipo kuwa mnafanya makosa kupitisha umeme kwenye kiwanja Cha mtu bila hidhini yake wakati kuna barabara yeye akasema kwani Tanesco wakipata hasara kwa kushtakiwa nitaumia na Nini?

Namba yake ya simu huyo wa Tanesco aliyesimamia kupitisha umeme eneo la mtu na kukataa kuonywa kwa kosa hilo na kukaidi ni 0783559712

Tanesco shughulikia hili tatizo
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tangazo hilo ni la kweli na kila Mkoa utafanya mabadiliko kwa utaratibu maalumu, hivyo kwenye Mkoa wako zoezi hili likifika utafahamishwa tafadhali.^OK
Mimi mita yangu ipo juu sana kila nikitaka kuingiza umeme lazima nitafute ngazi sasa imekuwa tabu kweli kweli.
Ni aina hii je nazo mnazibadilisha? angalau nipate zile zenye ving'amuzi.
 

Attachments

  • 20230511_112448.jpg
    602.2 KB · Views: 4
Tanesco kitengo Cha Emergency mje mtatue Tatizo lenu huku. Kuna nyaya hazina makava zipo bare zinagusana, Kila mara zinapogusana zinatokea cheche kubwa na moto mkubwa, Tumeripoti Tatizo Jana ila mpaka Leo Bado hawajazishughulikia, Jana wamekuja wakasema hawana vifaa walivyoondoka hawajarudi tena, hizi nyaya zipo kwenye makazi ya watu endapo yatatokea majanga mpo tayari kulipa Gharama za kufidia Kwa uzembe wa wazi kama huu. Eneo Ni Kwembe, Kibamba (Ubungo DSM) Kona Ya Samaki karibu na Kwa mzee Matondane
 
Poleni na kazi!
Mimi naomba kuuliza. Nimepanga chumba na kufanyia shughuri zangu, kwenye vyumba vya uwanja wa mpira Kambarage, Shinyanga, unaomilikiwa na CCM Mkoa. Sasa, nami nakatwa fedha za jengo ninaponunua umeme kila mwezi. Vipi, kuna uhalali kwa hilo?
 
Kwa maneno yasiyo zidi 10 elezea hali ya mkatiko wa umeme katika eneo lako kwa sasa.
inaonekana wale jamaa waliondoka na kisirani yao.

nilipo -no mkatiko
 
 
Tanesco na body ilipitisha wakandarasi wote wafanye kazi za usambazi wa umeme vikundi na kazi za matengenezo kwajir kuongeza wigo wa wateja ili tanesco wauze umeme kwa wateja na selikali iongeze kukusanya mapato ndio dhumun imebadilika badala kupewa vikundi izo kazi wanazifanya wahandishi wa shirika kinyemela mgongano wa masilai na ushirikiano wa wahasibu kutoa pesa kuwapa wahandishi kulipa mafundi na wao kuchukua Chao badala kulipa ktk account za vikundi kulipa Kodi. Ili watu wa rushwa na auditing wamelala aiwezekani pesa aionekani imetoka wapi analipwa Nani ktk account ipi. Na wapokeaji awa sainishwi ni mgongano wa masilai na wizi pia kupoteza mapato ya serikali. Imefikia kazi azina ufanisi mpaka kupunguza ku connect wateja kwa wingi. Wanalipwa mshahara na bado wanachukua pesa sio zao na ili mpaka ktk miradi ya rea udalali sugu sub contractor resposiblity 95% to provide all facility and to run the project personal before any payment any support any cooperation and to results and to deliver the job personal ili main contractor is not part of work because is not resposiblity. Kwaiyo watu wa idara rushwa na polisi mlifatilie kwa utafit na upelelezi wa kitergensia umakini kisomi mtayabaini Aya . Kwa mkurugenzi wa tanesco linakusu kufatilia na director wa rea na karibu mkuu wa wizara nishati na mwenyekit wa body rea na tanesco. Uzalendo muimu ni haki elimu utambuzi to investing thinking capacity to realize position thinking
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tunapenda kufahamu changamoto yako tukuhudumie tafdhali.^OK
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tunapenda kufahamu changamoto yako tukuhudumie tafdhali.^OK
Kata ya mhande wilaya ya kwimba hatuna umeme siku ya 3 Leo,shida ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…