Mimi naulizia,,mbona tangu nilipie umeme mwezi Wa NNE tarehe 19 mpaka Leo sijapata umeme?
 
Mimi naulizia,,mbona tangu nilipie umeme mwezi Wa NNE tarehe 19 mpaka Leo sijapata umeme?
Jina mkoa wilaya namba ya fomu yako, kiasi ulicholipa na namba yako ya simu
 
Nimelipia shs 536000 hivi sins uhakika lkn ni laki 5 na point
 
Mbona hamnipi majibu ya post yangu [HASHTAG]#1362[/HASHTAG]?
 
Sawa mkuu, hio gharama tayari umeshalipia au unasubilia kulipia kwa awamu tatu
bado haijalipwa ndio maana nimeuliza ukiachana huo utaratibu wa kulipia kwa awamu 3 je hiyo luku yaweza kufungwa mteja akawa anakatwa kila anaponunua umeme mpk deni liishe?
 
bado haijalipwa ndio maana nimeuliza ukiachana huo utaratibu wa kulipia kwa awamu 3 je hiyo luku yaweza kufungwa mteja akawa anakatwa kila anaponunua umeme mpk deni liishe?
Hapana mpaka umalize malipo yote ndio unafungiwa mita
 
Naomba majibu ya swali langu,tangu nilipie mwezi wa 2 mwishoni hadi Leo sijafungiwa umeme,lini mtafunga,au mnayaangazia maisha sehemu gani? Manake naona nimeuliza swali lakini halijibiwi hata na nyie

Niko marangu-kyala
 
Mbona hamnijibu post yangu hii?

TANESCO, nimefunga Mashine yangu ya kukamua alizeti singida, ila umeme wanagoma kuja kuniunganishia wa phase 3, hauko mbali hata nguzo haihitajiki. Madai ni kua REA hawashushi lakini majirani wameshushiwa, nifanyeje?

Namba 0768 865561
 
Nimefurahi sana TANESCO kunipigia, kumbe ni kweli mnajali. Asanteni kwa majibu yenu kua mnafatilia tatizo langu, hope ntapata ufumbuzi toka kwa Manager Manyoni mana Mashine ambayo ni kiwanda itaoza jamani.
 
Nipo dodoma (w)kongwa-kibaigwa.. Swali mita yangu ipo juu ya nguzo kila ikifika saa nne usiku inakata hadi saa moja asubuhi tatizo ni nini..? Yaani ni kero sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…