Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 582
Tatizo lenyewe ni kwamba hapa mnapo ng'ang'aniza kusimika ni njiani.Hili suala mmelishindwa tufanye mawasiliano na NAIBU WAZIRI?![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenyewe ni kwamba hapa mnapo ng'ang'aniza kusimika ni njiani.Hili suala mmelishindwa tufanye mawasiliano na NAIBU WAZIRI?![]()
Ili upate ushauri wa nini cha kufanya lazima tufike kwako tufanye vipimo na kukushauti kulikana na miundombinu ya eneo lakoHabari.
Kama una luku(na haina deni) tayari ila unataka kuongeza ya pili(ya chumba kimoja) unaruhusiwa kulipa kwa awamu? Kama ndio utaratibu ukoje?
kivipi maana taratibu nilishaelezwa pamoja na gharama ila hicho kiasi cha 320,960/= ndio nilitaka nijue kama ni lazima ulipe kwa mkupuo au unaruhusiwa kulipa kwa awamu mfano kama mlivyokuwa mnafanya zamani kwa watu wenye mita mlipo wawekea luku si mliwahamishia deni wakawa wanakatwa kwenye manunuzi ya umeme.Ili upate ushauri wa nini cha kufanya lazima tufike kwako tufanye vipimo na kukushauti kulikana na miundombinu ya eneo lako
Unaweza kulipa kwa awamu tatu ndanj ya miezi mitatu mfululizo.je ulishapewa gharama na ofisi maana lazima ufanyiwe vipimokivipi maana taratibu nilishaelezwa pamoja na gharama ila hicho kiasi cha 320,960/= ndio nilitaka nijue kama ni lazima ulipe kwa mkupuo au unaruhusiwa kulipa kwa awamu mfano kama mlivyokuwa mnafanya zamani kwa watu wenye mita mlipo wawekea luku si mliwahamishia deni wakawa wanakatwa kwenye manunuzi ya umeme.
hivyo nilitaka kujua kama utaratibu huo unawezekana ya kwamba mumfungie mteja luku(baada ya kukamilisha taratibu zote ikiwemo kufanyiwa survey) hiyo gharama(yaani 320,960/=) muwe mnamkata ktk manunuzi yake ya umeme.
ndio walishapewa na hicho kiasi cha sh.320,960/= ndicho walichoambiwa baada ya kumaliza taratibu zote.Unaweza kulipa kwa awamu tatu ndanj ya miezi mitatu mfululizo.je ulishapewa gharama na ofisi maana lazima ufanyiwe vipimo
Tunaomba namba yako ya simu ili kuwasiliana na wewe zaidiHABARI TANESCO
MAOMBI YA KUSAMBAZIWA UMEME ENEO LA MBEZI MSUMI WILAYA YA UBUNGO,
DAR ES SALAAM
Umeme umefika barabarani stendi ya mabasi mbezi msumi sasa nauliza lini wataanza kusambaza ndani kwenye mitaa
Tunaomba namba yako ya simu mkuuMimi ni mkazi wa Mbagala Nzasa eneo la Kwa Mwarabu karibu na shule ya chekechea iitwayo MONTESSORI jirani na BAR
Kuna nyaya za umeme ziko chini saana ambazo kwa mtizamo wangu zinaweza kuleta madhara.