TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hili suala mmelishindwa tufanye mawasiliano na NAIBU WAZIRI?
24df010b87ddcebec6e7c72ec861d04f.jpg
Tatizo lenyewe ni kwamba hapa mnapo ng'ang'aniza kusimika ni njiani.
 
Narudi kuuliza tena swali ambalo mmekua mkiliruka, tanesco mkoa wa Lindi kuna tatizo gani siku ya tano leo umeme unakatika masaa kumi.
 
Eneo gani na namba yako ya simu tafadhali
 
Nimekwisha lipia Umeme tangu mwezi wa 2,mpka sasa hivi sijafungiwa Umeme shida nini? Niko Marangu magharibi
 
Tanesco naomba majibu,miezi saba tangu nilipie kufungiwa Umeme lakini bado sijafungiwa,nitafungiwa lini? Na kwanini nimecheleweshwa hivyo

Niko marangu,kyala
 
Tanesco mi nimekereka swala la kutuondolea mfumo wa kuomba kubadilishia mita kuweka kwenye matumizi madogo mnadai system inajiondoa yenyewe wakati ni uongo Tanesco usariver
 
Kuna gharama yoyote inahitajika ili kuungwa kwenye umeme Wa tarifu
 
Habari.

Kama una luku(na haina deni) tayari ila unataka kuongeza ya pili(ya chumba kimoja) unaruhusiwa kulipa kwa awamu? Kama ndio utaratibu ukoje?
 
Ili upate ushauri wa nini cha kufanya lazima tufike kwako tufanye vipimo na kukushauti kulikana na miundombinu ya eneo lako
 
kivipi maana taratibu nilishaelezwa pamoja na gharama ila hicho kiasi cha 320,960/= ndio nilitaka nijue kama ni lazima ulipe kwa mkupuo au unaruhusiwa kulipa kwa awamu mfano kama mlivyokuwa mnafanya zamani kwa watu wenye mita mlipo wawekea luku si mliwahamishia deni wakawa wanakatwa kwenye manunuzi ya umeme.

hivyo nilitaka kujua kama utaratibu huo unawezekana ya kwamba mumfungie mteja luku(baada ya kukamilisha taratibu zote ikiwemo kufanyiwa survey) hiyo gharama(yaani 320,960/=) muwe mnamkata ktk manunuzi yake ya umeme.
 
Unaweza kulipa kwa awamu tatu ndanj ya miezi mitatu mfululizo.je ulishapewa gharama na ofisi maana lazima ufanyiwe vipimo
 
take note!
Kumekuwa na tatizo la kukata umeme na kurudisha, kata rudisha kata rudisha ambazo imekuwa ni kero kubwa sana hasa ukizingatia ni eneo la viwanda na biashara.

Kwa kuwa tupo katika kipindi hiki cha uchumi wa viwanda, matatizo kama haya yanafaa kuchunguzwa na kupatiwa ufumbuzi wa uhakika na wakudumu...the strength of a nation is based in her powers!
 
Unaweza kulipa kwa awamu tatu ndanj ya miezi mitatu mfululizo.je ulishapewa gharama na ofisi maana lazima ufanyiwe vipimo
ndio walishapewa na hicho kiasi cha sh.320,960/= ndicho walichoambiwa baada ya kumaliza taratibu zote.
 
HABARI TANESCO
MAOMBI YA KUSAMBAZIWA UMEME ENEO LA MBEZI MSUMI WILAYA YA UBUNGO,
DAR ES SALAAM
Umeme umefika barabarani stendi ya mabasi mbezi msumi sasa nauliza lini wataanza kusambaza ndani kwenye mitaa
 
Mimi ni mkazi wa Mbagala Nzasa eneo la Kwa Mwarabu karibu na shule ya chekechea iitwayo MONTESSORI jirani na BAR

Kuna nyaya za umeme ziko chini saana ambazo kwa mtizamo wangu zinaweza kuleta madhara.
 
Tunaomba namba yako ya simu ili kuwasiliana na wewe zaidi
 
Mimi ni mkazi wa Mbagala Nzasa eneo la Kwa Mwarabu karibu na shule ya chekechea iitwayo MONTESSORI jirani na BAR

Kuna nyaya za umeme ziko chini saana ambazo kwa mtizamo wangu zinaweza kuleta madhara.
Tunaomba namba yako ya simu mkuu
 
Back
Top Bottom