Kaaaazi kweli kweli hata hamtuambiii siku hizi tena shida au tatizo ni nn umeme hakuna
Oneni sasa soko la kimataifa Kariakoo yote giza halafu ndo uchumi unakua
Ila Tanesco kuna mmmmh shikamooni wote
Sitoandika tena comment hapa maana hata utaratibu wa kujibu hapa Jf mliacha kimya kimya
Sasa si mseme kama ni lazima kila nyumba/au duka liwe na jenereta kama ilivyo Fire?
 
Sikonge Tabora umeme ulikatika jumamos saa 2 usiku umekuja kurudi leo jumatatu saa 1 jion na ilipofika saa 3 usku umekata tena,imagine toka jumamos umeme haujaonekana mpaka leo jumatatu si hatari hii.
 
Sawa
 
Majisifu yalikuwa mengi kuwa.kesho unaweza kukuta hakuna mgao. Kwa taarifa yako Engineer Mramba, sasa ni mgao mkali kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
 
Wenyewe wanasema "Maendeleo hayana Chama".

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Tanesco customer care is https://jamii.app/JFUserGuide off...!!!
Nawapigia zaidi ya 15min now kwenye options zote za Kiswahili na Kiingereza lakini naambiwa mnahudumia wateja wengine..ni uongo kabisa..mmeweka Simu zenu kwenye busy tone/answering machine mpo busy as if kuna wemgine mnawahudumia kumbe ni uongo kabisa...you are doing nothing..you are https://jamii.app/JFUserGuide off...you are a disgrace to this country!!! Nina emergency niende wapi sasa na hampokei simu???
MUNGU awalaani kabisa.. You are a disgrace to this country.
 
Leo sijatoka ndani na umeme ulikatika mida ya saa sita hadi now adhana haujarudi
 
JPM taasisi za umma alichanganya changanya sana wafanyakazi yaani ni uhamisho wa taasisi nje ya taasisi,wafanyakazi wengi wakawa wanajua kuwa TISS wametawanyishwa kote,ikirudia ile hali yaani unamtoa eng halmashauri unampeleka Tanesco.utaona wanakuwa wapole wakihisi kama wanamipango ya hujuma basi inajulikana.
 
Tumieni akili! Sababu gani za kuweka mgao Iringa mjini na wakati bwawa la kufua umeme (mtera) lipo ndani ya mkoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…