TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Sa100 ni janga, Mungu atusamehe kwa matusi tuliyomtukana mtumishi wake Magufuli, atuepushe na hili dubwasha alilotuachia.......

mtu kazungukwa na kina dewji, rostam na magenge ya wahindi na waarabu, kazi kuzurula tu kama empty set, haluma alichofanikiwa hata kimoja......

Mungu atusamehe sana kwa tuliyosema kuhusu magufuli..... hii nira imekua nzito mnooo
 
Honest am very tired of this country

Wameshachukua umeme wao

Honestly mnakeraa kichizi aseee


JPM uko wapiii Mzee wetuuu

Sasa ivi wanatuchezeaaa tuuuu wanavyotakaaaa

Hii biashara toka umeondokaa is ishakuwa ya ovyoo sanaaa .

Mama nakushaurii mrudishe Kalemanii Wizaranii
Ndio hasara ya kuishi Mkoani hiyo 😂😂😂

Dom hakuna hiyo shida.

Kwa kweli poleni nilisafari kuja Dom hakuna mgao kabisa ila hata Mkoa kwangu hakuna shida kubwa ya Umeme.

Balaa nilikuta Mbeya yaani kutwa nzima hakuna umeme nikiamka hakuna umeme ndio nikajua kumbe shida ipo kweli 😁😁
 
Hakika Nyerere na Magufuli tutawakumbuka daima mchongewe sanamu lenu pale makao makuu Dodoma kila mtu awaone ila na sura ziwe zenu bana
 
Hivi nyie TANESCO huwa mnajisikiaje mkipita mitaani hakuna umeme watu wanateseka na nyinyi mwisho wa mwezi mnalipwa mshahara?
 
Yaani hata leo watu wako nyumbani wamepumzika na hekaheka za wiki nzima umeme unakatwa na hili joto jamani sasa twende wapi? TANESCO
 
Back
Top Bottom