TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nina tatizo kwenye MITA yangu toka tarehe 15 umeme haununuliki MITA NO.yangu ni 43026745604 nikinunua inaandika Muamala wa LUKU uliofanya tarehe (Fulani) haukufanikiwa.Tafadhali angalia angalia salio lako la M pesa kwani pesa zako zimerudishwa!
 
Na pesa ipo nyingi tu
 
daaaah tatizo la umeme kumbe limekuwa kubwa zaidi ya tunavyozania umeme mchana kutwa hamna , umerudi saa 1 usiku sasa hivi umekatika maskini samaki zangu zote zimeharibika. sijui ntashika wapi?! hivi magufuli aliwezaje? kila kitu nchii shida Mungu pitisha ufalme wako tuondokane na shida hii. kwani sisi mazombi hatujitambui kabisa. Nchi ipo kwenye matatizo lukuki waliochaguliwa hawaoni sisi tunaonekana mafala sukari shida kila kitu shida hivi nani alieturoga akatupa akili za kutokujitambua!?asante samia kwa kunifakirisha Nakuombea uendeleee na maziara yako
 
Anasa kwa nyinyi wasakatonge ila huku osterbay hamna mgao
 
Hivi sababu ya mgao kwa sasa ni ipi wajameni? Mana maji sio shida, tatizo nini?
 
Huku kwetu tangu usiku wa leo umerudi saa 2 usiku huu kurudi kwenyewe sasa, bora hata wangekata mazima tujue moja.

Utafikri wanafunzi wanajifunza kwa vitendo namna ya kuzima na kuwasha
 
Yaani hawaogopi kabisaa wakati mwambaa jiwe alishatupenyezea ujanja wao kuwa wanafungua maji mtera.yaani kuna kipindi mpaka naogopa ujasiri wa hawa jamaa naona wana roho ata ya kutuangamiza wabaki wenyewe.
 
Back
Top Bottom