Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mnashukuru kwa Pongezi wakati huku mmekata umeme nyie jamaa vipi?Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi, tunashukuru kwa pongezi. Tanesco tunaangaza maisha
Mnashukuru kwa Pongezi wakati huku mmekata umeme nyie jamaa vipi?Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi, tunashukuru kwa pongezi. Tanesco tunaangaza maisha
TANESCO hamjaona hili OMBI au bado mnabonyeza switch ya kuzima umeme..?Naomba kukumbushia kuhusu Ombi langu hili.
Nimekuwa nikipigiwa Simu mara Kwa mara kwamba Wanakuja kuleta nguzo lkn hawafiki. Ni wiki Sasa na ukiwapigia wao simu hazipokelewi
Au Kuna utaratibu mwingine natakiwa kufanya mara baada ya kulipia Ili niunganishiwe umeme?
Please Tannesco, naomba kuunganishiwa umeme kama nimekidhi vigezo unless niambiwe kama Bado taratibu sijakamilisha. Nimechoka kukaa Giza , Naamini Mtalifanyia kazi .
Hawanaga ratiba wakishashiba K Vant wanakata popote wanapojisikia,Tunaomba ratiba ya mgao tafadhali maana tumechoka.
Bora waseme ni mateso makubwa kuishi mjini bila umeme. Umeme unakatwa kama dozi ya Panadol. Kila siku, bora mkate mwezi mrekebishe, baada ya hapo mridishe. Nimewatusi Leo...Tuoneeni huruma jamani rudisheni umeme kama kuna shida tuweken wazi watanzania mbn ni waelewa usku tunakosa usingizi joto kali mbu wanauma sio mchezo kwani umeme mnagawa bure,? Si tunaulipia dah hii nchi jamani haya bhana NA HIZO ELA MNAZOTAKA KUWEKA PICHA YA RAIS MAKE SURE KWA UPANDE WA NYUMA WEKENI PICHA YA JENERETA MAANA TUMETESEKA KAMA TUNAISHI VIJIJINI
Huko mnatumia umeme wa ZambiaKwetu Sumbawanga Umeme saa 24/7