TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO sweetheart, nini shida? Hiki kipande chetu kimebarikiwa, ila sku hizi mmetuanzishia saa 1 mpk saa 3. Tunamiss taarifa za habari aisee.
 
Habari Tanesco
Naomba kujua.

Ikiwa taarifa za maombi yamepokelewa na mkandarasi na kupewa mrejesho,

Je, 𝙞𝙣𝙖𝙘𝙝𝙪𝙠𝙪𝙖 𝙢𝙪𝙙𝙖 𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙆𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙙𝙪𝙢𝙞𝙬𝙖/𝙠𝙪𝙪𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞𝙨𝙝𝙞𝙬𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙢𝙚?

𝘼𝙗𝙚𝙡 𝙁𝙧𝙖𝙣𝙠
𝙈𝙠𝙪𝙣𝙙𝙞 𝙢𝙬𝙞𝙨𝙝𝙤
𝙅𝙞𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙤𝙛𝙞𝙨𝙞 𝙯𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙖 𝙯𝙖 𝙯𝙖𝙢𝙖𝙣𝙞
𝙒𝙞𝙡𝙖𝙮𝙖 - 𝙈𝙤𝙧𝙤𝙜𝙤𝙧𝙤
𝙈𝙠𝙤𝙖 -𝙈𝙤𝙧𝙤𝙜𝙤𝙧𝙤.
0753927572

𝙉𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 -1912232123
𝙏𝙖𝙧𝙚𝙝𝙚 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙢𝙗𝙖 -25/01/2024

𝙃𝙄𝙩𝙖𝙟𝙞 - 𝙃𝘼𝙍𝘼𝙆𝘼
Habari ndugu Abel asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, ukishapata mkandarasi na akisha jaza taarifa zako kwenye mfumo nadani ya siku 7 za kazi surveyor anafika na kufanya tathmini kisha mteja anasubiri kupatiwa control number kwa ajili ya malipo, tafadhali tupatie namba ya ombi kwa ufutiliaji zaidi.^OK
 
TANESCO sweetheart, nini shida? Hiki kipande chetu kimebarikiwa, ila sku hizi mmetuanzishia saa 1 mpk saa 3. Tunamiss taarifa za habari aisee.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe eneo lenye changamoto kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
 
Yaani huu umeme ni kama tunapewa kwa hisani…..tanesco mjitafakari, tunalipia huduma haupewi bure….I think you’re in suspended animation muda wowote chali
 
Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2024
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
 
Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2023
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
No sory, Ni tarehe 20/1/2024
 
Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2023
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK
 
TANESCO nimenunua umeme na hamniletei token tatizo nini Lakin?
Jana wamenunua WA elf 1000
Hamjaleta na Leo nimenunua WA elf 2000 bado sipat umeme shida iko wapi
 
Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK
nyie TANESCO ni shirika la wajinga
 
[mention]TANESCO [/mention] mnakwamisha maendeleo ya nchi , huduma gani mbovu kiasi hiki. Umeme unakatika daily? Lini mtamaliza matatizo haya?
 
Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK
Ok thanks kwa majibu mazuri. I mark this date nasubiri
 
Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2023
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
Achana na hizi mifugo nunua sola panel kuepuka stres
 
Watu wa hovyo sana nyi wajinga mnachezea chezea umeme huko bila taarifa tunaunguza vifaa vya umeme hizi hasara mtagidia??? TANESCO
 
Huku kila siku wanakata
Kama siku ya mgao wanadai kuna hitilafu wataalamu wanashughulikia, hapo mpaka jioni
 
Back
Top Bottom