TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Bashite ajitahidi kuzungumxia Tanesco sio kumpa mama sifa za kishamba na kichawa..
Kwani hajui uozo wa Tanesco?!! Vipi huko kwenu sukari shs ngapi?!! Kuanzia kesho karibu nchi nzima sukari itakua ya kusaka kama rupia!!

Makonda mnampaisha sana, anafanya maigizo ambayo ni matusi kwa watu wenye akili ila yanafanyika kwa sababu CCM wanajua Watanzania ni kama nyumbu tu!!
 
Hawa jamaa ni nyumbu kabisa
Hapa nilipo tangu saa 12 asubuhi hadi muda huu saa 2usiku hatuna umeme
Yaani badala ya Rais kuingilia kati hili tatizo ameamua akakate keki ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake.
Pole huku umerudi lkn wakati wowote watakata.
 
nawaza tu bila haka ka-UPS mngekuwa mshaniulia desktop yangu ya ngama
umbwa nyie
 
USHAURI
Mabwawa karibu yote ya kufulia umeme yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji mara mvua zikipungua au kunyesha maeneo yale yasiotiririsha maji kwenye mito inayoelekeza maji yake kwenye mabwawa hayo.

Kwanini by design, mabwawa yasiwekewe utaratibu wa kuyakinga maji ambayo yameshapita kwenye mashine za kufua umeme na kuyarejesha kwenye bwawa?

Unafungulia maji halafu unalalamika maji yamepungua huku ukijua tuna misimu 2 tu ya mvua nayo imeachana kwa miezi.

Pump back hayo maji, ruhusu tu yale ya ziada. Umeme ni wa kwenu.
Hili litahakikisha munamaintain same maximum level ya maji yanayohitajika.
 
Habari Tanesco
Naomba kujua.

Ikiwa taarifa za maombi yamepokelewa na mkandarasi na kupewa mrejesho,

Je, 𝙞𝙣𝙖𝙘𝙝𝙪𝙠𝙪𝙖 𝙢𝙪𝙙𝙖 𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙆𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙙𝙪𝙢𝙞𝙬𝙖/𝙠𝙪𝙪𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞𝙨𝙝𝙞𝙬𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙢𝙚?

𝘼𝙗𝙚𝙡 𝙁𝙧𝙖𝙣𝙠
𝙈𝙠𝙪𝙣𝙙𝙞 𝙢𝙬𝙞𝙨𝙝𝙤
𝙅𝙞𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙤𝙛𝙞𝙨𝙞 𝙯𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙖 𝙯𝙖 𝙯𝙖𝙢𝙖𝙣𝙞
𝙒𝙞𝙡𝙖𝙮𝙖 - 𝙈𝙤𝙧𝙤𝙜𝙤𝙧𝙤
𝙈𝙠𝙤𝙖 -𝙈𝙤𝙧𝙤𝙜𝙤𝙧𝙤.
0753927572

𝙉𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 -1912232123
𝙏𝙖𝙧𝙚𝙝𝙚 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙢𝙗𝙖 -25/01/2024

𝙃𝙄𝙩𝙖𝙟𝙞 - 𝙃𝘼𝙍𝘼𝙆𝘼
 
Back
Top Bottom