TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mkoa nilipo hatujawahi kuwa na mgao, wanasema ni sababu hakuna viwanda vingi
 
Haina haja ya kuuliza eneo.
Kwa kifupi nchi nzima ipo gizani.
Maeneo mengi ya nchi hii yana mgao wa kimya kimya wa umeme.
Mataga wanazingua sana.
 
Ni hatari gani iyo unaingolea Mkuu ?
Ile ni mitambo complex, hata mshituko mdogo tu inajizima, yaani watu wanataka iendelee kuwaka ili wamulikie magimbi yao, halafu iungue nchi ipate hasara ya mabilioni.
 
Bashite ajitahidi kuzungumxia Tanesco sio kumpa mama sifa za kishamba na kichawa..
 
Back
Top Bottom