Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kusikia zanzibar kuna mgao wa umeme kwa miaka ya karibuni.Halafu kila kukicha anatamba akikamilisha bwawa fulani atauza hadi kwa majirani
Decoder nitaenda kununua kesho Azam siiwezi!
Halafu Makonda anazurula nchi nzima na mazombie yanakusanyika eti kutatua kero za wananchi!Haina haja ya kuuliza eneo.
Kwa kifupi nchi nzima ipo gizani.
Maeneo mengi ya nchi hii yana mgao wa kimya kimya wa umeme.
Mataga wanazingua sana.
Umeme una uafadhaki Dar tu
Karibu The Pillars huku Njiro. Umeme upo
Dadalakee Karibu supu hapa Milestone...Tanesco ilishaga jifia miaka mingi tuHata arusha wamekata saa 12 jioni hii yaleo
Chifu hapa utapunguza machungu ya msiba na Tanesco at a time.Mkuu niache msiba nije kwenye night club inayotumia Generator?!
Chifu hapa utapunguza machungu ya msiba na Tanesco at a time.
Bila kufanya maamuzi tutaendelea kukaa giza mda wote1. MWANZA hakuna umeme
2. Moshi Kilimanjaro hakuna umeme
3. Geita , Katoro hakuna umeme
4.
5.
Hapa M/Mwnjuma hakuna umeme kabisa mzee Mgaya anasonya sonya tuHapa Mbweni shwari kabisa Angola vs Namibia