Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Huko mnatumia umeme wa ZambiaKwetu Sumbawanga Umeme saa 24/7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mnatumia umeme wa ZambiaKwetu Sumbawanga Umeme saa 24/7
Na pesa ipo nyingi tuNina tatizo kwenye MITA yangu toka tarehe 15 umeme haununuliki MITA NO.yangu ni 43026745604 nikinunua inaandika Muamala wa LUKU uliofanya tarehe (Fulani) haukufanikiwa.Tafadhali angalia angalia salio lako la M pesa kwani pesa zako zimerudishwa!
Nani kama Mama![emoji1787]Anafungua nchi[emoji23]
Anaupiga mwingi, mpaka unamwagika mpaka mafurikoNani kama Mama![emoji1787]
Anasa kwa nyinyi wasakatonge ila huku osterbay hamna mgaodaaaah tatizo la umeme kumbe limekuwa kubwa zaidi ya tunavyozania umeme mchana kutwa hamna , umerudi saa 1 usiku sasa hivi umekatika maskini samaki zangu zote zimeharibika. sijui ntashika wapi?! hivi magufuli aliwezaje? kila kitu nchii shida Mungu pitisha ufalme wako tuondokane na shida hii. kwani sisi mazombi hatujitambui kabisa. Nchi ipo kwenye matatizo lukuki waliochaguliwa hawaoni sisi tunaonekana mafala sukari shida kila kitu shida hivi nani alieturoga akatupa akili za kutokujitambua!?asante samia kwa kunifakirisha Nakuombea uendeleee na maziara yako
Wanatuanda kisaikolojia ili kuliuza shirika kirahisiHivi sababu ya mgao kwa sasa ni ipi wajameni? Mana maji sio shida, tatizo nini?
Acha uongo wewe bwana mzeeTanesco tunaangaza maisha