TANESCO na Viongozi, tafadhali tumieni busara.

Mwaka 2018 Mlichukua Eneo MTAA WA MSALATO DODOMA JIJI kwa ajili ya Kujenga SUB - STATION na NJIA YA KUPITISHIA UMEME MKUBWA.

Wale wa SUB-STATION mliwalipa baada ya Kuhangaika sana kusaka haki Yao.

Hawa ambao NJIA YA UMEME MKUBWA mpaka Leo mmekuwa mkiwapiga DANADANA tu. Mara leo mara Kesho mara keshokutwa.

Hebu fikirieni kuanzia 2018 Mpaka Leo 2024 Thamani ya pesa ni Ile Ile.

Viongozi tumieni weledi Wananchi wanaumia sana.
 
Unampigia mbuzi Gitaa .

Bila CCM kutoka madarakani kulipwa ni hisani siyo haki.
 
Unampigia mbuzi Gitaa .

Bila CCM kutoka madarakani kulipwa ni hisani siyo haki.
Watu wanaumia sana, yaani zaidi ya Miaka 6 hakuna kinacho eleweka.

Hakuna anayejali, siyo TANESCO Wala JIJI na hata Uongozi wa CCM. Wakati wa kufanya UTHAMINI na UHAKIKI ndiyo walikuwa mbele kuwaharakisha Wananchi kukubaliana na Mchakato huo.

Wale wa SUB - STATION niliripoti humu na baada ya Mjadala mrefu wakawalipa japo mmoja kati Yao alikwisha fariki kabla ya Malipo kutolewa. "MUNGU amlaze mahali pema peponi, Amina."
 
Arusha Kuna Mgao wa Umeme Tena, mbona kimya kimya sasa!!!?
 
TANESCO hatuna umeme kilakala bong'ola t mtaa wa hiill view toka saa nne asubuhi nimeripoti TB 6687501. Ripoti nometoa saa 1 jioni. Tunaomba ushirikiano wenu huku kama msituni muda huu. TANESCO
 
Mtu kanunua umeme wa 6,500 kaambulia 1.4 units. Kulikoni?
 
Kuna nini huko jamani? Mnatuona sisi majuha sio....? ,mbona mnaongeza Tozo na kupinguza units za umeme mnavyotaka nyinyi? Hovyo kabisa.....
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Sh.10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on,ila siku zilivyokuwa zinaendelea,nimekuwa napata less and less units,na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Sh.10,000 nimepata only 11 units.Nawaombeni mnipe breakdown,maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo swala la kulipia majengo,lakini hata hili sidhani kama ni fare.Kiwanja changu,hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa,very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo.Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.


Malipo yamekamilika.43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00 02/07/24 20:38

As I have said,naomba maelezo please.
 
hivi ni kweli kahama hakuna nguzo tangu mwezi wa 2 au mnatuzungusha tutoe rushwa
na kuna matapeli wanajifanya waajiriwa wa tanesco wanapita kutaka kututapeli inaonekana wanashirikiana na watu wa ndani ya tanesco
kweli nguzo hakuna
nguzo moja shilingi laki 3 bado mnatuzungusha
mlaaniwe
why mlipokea hela yangu na nguzo hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…