Habari wahusika, mm ninatatizo na mita hainunui umeme, nimejaribu kununua kwenye simu inakataa, wameenda kwakala inaonyesha mita inadeni la tsh 21,000/= Najiuliza hilo denied limetoka wapi? Mita no 43028324184. Hardening Tanga. Naomba msaada tafadhali, watu wamelala giza siku ya 3 leo
 
Pole, nakushauri uende kwenye ofisi zao,hapa majibu waweza yapata baada ya mwaka mzima
 
Habari, napataje msaada , ninachangamoto la kununua umeme, kila nikinunua kwa simu inakataa, nimeenda kwa wakala wanasema mita inadeni la 21,000/= eneo la Handeni Tanga. Mwenyewe nipo Dar nashindwa kufatilia nikiwa huku. Mita No 43028324184
 
Naomba utaratibu wa kuunganishwa umeme vijijini nipo km 1 toka ulipoishia center ya kijiji kasela D urambo
 
Tanesco tanzania turudishieni umeme huku kinondoni kata ya Msisiri yahn game ya yanga imeanza nyie ndio mnazima umeme😡 turudishieni umeme bhana tafadhalini
 
Ta
TANESCO ninaomba ufafanuzi kuhusu makato wkt wa kununua luku. Mwezi June mwaka huu nilikatwa sh2000. Jana nimenunua Tena umeme wa sh 5000 nikakatwa Tena deni sh3500 na kuambulia unit 12 pekee. Nataka kuuliza mnatupeleka wapi wananchi!? Yaani Kila tukinunua tunakatwa tozo. Mbona kipindi Cha nyuma ilikuwa ni sh12,000 kwa mwaka,sawa na sh 6000 kwa mwezi. Na ikaja tunakatwa sh 1500. Mambo gani haya Tanzania yetu hii mbona tunanyanyasika hivi?
 
Mlituahidi kuanzia July ingekuwa tukinunua umeme unaingia moja kwa moja kwenye meter, ila pamoja na kufanya maboresho kwenye meter lakini hilo bado halijafanikiwa.
Mmefikia wapi kukamilisha hilo jambo au hamkumaanisha July ya mwaka huu?
 
Wakati wa Serikali ya AWamu ya 5 mlikuwa punctual sana kuunganishia watu line. Hivi sasa NI wiki ya 6 ya ucheleweshaji wa kuunganishiwa line hata baada ya kulipa. Sababu zinazotolewa eti hakuna nguzo. SERIOUS!!!
 
Lipa deni maisha yaendelee utapoteza tu mda kufuatilia,labda kama huna kazi
 
Hii sehemu yote mngei update kwakuwa hizo namber nyingi ni useless
Nauliza kwanini mnazidi kuminya tarrif 0 kutoka unit 70 hadi 60 wakati mkijua kuna watu matumizi yao hayavuki 70
 
Je Pangani kuna mgao wa umeme,Kila jumanne na Jumamosi umeme unakatika asubuh saa 3 mpaka saa 12.
Tatizo ni nini?
 
Tanesco Tanzania mnakera sana jamani ndio nini huku kinondoni msisiri mnatukatia katia umeme jamani hiv mkituunguzia vitu vyetu kwa kuwasha na kuzima mtatulipa
 
Nimepoteza remote ya kuwekea umeme...nafata taratibu gani kupata nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…