By the way, wewe ni mhusika wa TANESCO? Kama siyo waachiwe wenyewe tatizo wanalifahamu vizuri walishawahi hadi kufika nyumbani
 
Morogoro walikuwa hawapokei simu waonyeni wanakatabia hako japo ni miaka miwili iliyopita
 
Hapana; kila mtu ana mita yake
Mimi sio mhusika Ila ni kishoka mzoefu
Cha kufanya pima umeme unaoingia Kama itachezea 220V Hadi 240 kwa upande wa tanesco hakuna shida chunguza wiring yako Kama utakuwa pungufu ya hapo deal na tanesco
 
Mimi sio mhusika Ila ni kishoka mzoefu
Cha kufanya pima umeme unaoingia Kama itachezea 220V Hadi 240 kwa upande wa tanesco hakuna shida chunguza wiring yako Kama utakuwa pungufu ya hapo deal na tanesco
Acha usiwajibie; wao wanalifahamu tatizo kuliko wewe kwa sababu siyo la leo
 
Huku Goba Tegeta A hatuoni faida ya ongezeko la umeme kwani kila siku umeme unakatika mfano Leo tangu usiku mpaka jioni hii hakuna umeme .
Mnatuvurugia kazi zetu na mjue mna mkataba mtupe umeme.
 
Huku Goba Tegeta A hatuoni faida ya ongezeko la umeme kwani kila siku umeme unakatika mfano Leo tangu usiku mpaka jioni hii hakuna umeme .
Mnatuvurugia kazi zetu na mjue mna mkataba mtupe umeme.
Uzi wameukimbia ila umeme unazingua hasa leo karibu kila mtu alalamika na bado wapo kimya
 
TANESCO habari remote yangu nikiangalia balance au kutaka kurecharge inaniletea error77
Meter number inaanza na 2483
 
Ni gharana kiasi gani napaswa kulipa kama itatokea nimefanya uharibifu kwenye miundo mbinu ya TANESCO ?
Gari yangu aina ya fuso ilinasa nyaya za umeme wa TANESCO na kuvuta kulikopelekea nguzo mbili kuanguka na kuonekana hazifai. Pia kuna nyaya zimekatika.
Napaswa kulipa gharama? Na kama kuna gharama ni kiasi gani?

Cc. TANESCO
 
hivi tanesco ndo mshapakacha hapa ndani au Umeme saizi izi mita mlizotuwekea zinajizima sana unakuta mmechukua umeme nguzo moja ila mwingine kwake umeme aupo wengine amna.
 
TANESCO narudia tena, Walipeni hawa Ndugu Stahiki zao au mnataka kufanya Malipo Bwana akisha watwaa kama ilivyotokea pale sub-station kwa Baadhi ya waliokuwa wanadai na kama hamna Fedha ya kulipa waambieni Wananchi ukweli.

Maeneo yametengwa tangu 2018

Uthamini umefanyika 2021

Uhakiki umefanyika 2023

Disclosure mmefanya 2024 na Uongo juu kwamba Malipo ni Mwezi wa 8.

Yaani zaidi ya Miaka 6 mmewazuia watu kutumia ardhi Yao lakini Fedha ya Fidia hamtaki kulipa.

Hivi mngekuwa nyinyi na familia zetu mngefurahi?.

Wakati mnatwaa haya maeneo VIWANJA pale MSALATO vilikuwa vinauzwa 2,000,000= sasa hivi ni zaidi ya 12,000,000.

Walipeni wenzenu ili wakaanze Maisha upya siyo mnakaa ofisini ili kuwachonganisha Wananchi na Serikali Yao.

DETAILS
MKOA: DODOMA
WILAYA: DODOMA JIJI
KATA: MSALATO
MRADI: 220 KV RING CIRCUIT
MWENYE MRADI: TANESCO
 
Habari
Naomba kufahamu mita ikiungua na kulikua na unit je nikifungiwa mita mpya unit zangu za mwanzo inakuaje?nilifika Hadi TANESCO - NKASI wakanambia niandike barua matokeo yake Hadi Leo sijajibiwa kitu na unit zangu zilikua 62
 
Shukrani mkuu, kuna namba nimepata nimepiga nimepata maelezo na nimefanikiwa kuiingiza.

Ahsante sana kwa kujali.
Wamekwambiaje?? Mm nimeishiwa umeme jana toka ninunue hivyo nikawa sijanunua mpya ambao unaleta token 3 sasa naingiza mara ya 20..naona dalili ya kulala giza leo
 
Jamani mwenye kujua hii Error 77 kila ukiingiza token anijuze nifanyaje maana naona Tanesco hawajibu...yani nakaribia kudata...kuna kazi italala leo...
 
TANESCO Jana nmenunua umeme WA elf 5 alaf pesa imekatwa kwenye voda Lakin hakuna msg ya token wala muamala

Msaada tahadhali
 
Jamani mwenye kujua hii Error 77 kila ukiingiza token anijuze nifanyaje maana naona Tanesco hawajibu...yani nakaribia kudata...kuna kazi italala leo...
 

Attachments

  • D19LMwmWkAAarIa.jpeg
    126.9 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…