Naomba niwakumbushe tena juu ya hili Jambo.TANESCO narudia tena, Walipeni hawa Ndugu Stahiki zao au mnataka kufanya Malipo Bwana akisha watwaa kama ilivyotokea pale sub-station kwa Baadhi ya waliokuwa wanadai na kama hamna Fedha ya kulipa waambieni Wananchi ukweli.
Maeneo yametengwa tangu 2018
Uthamini umefanyika 2021
Uhakiki umefanyika 2023
Disclosure mmefanya 2024 na Uongo juu kwamba Malipo ni Mwezi wa 8.
Yaani zaidi ya Miaka 6 mmewazuia watu kutumia ardhi Yao lakini Fedha ya Fidia hamtaki kulipa.
Hivi mngekuwa nyinyi na familia zetu mngefurahi?.
Wakati mnatwaa haya maeneo VIWANJA pale MSALATO vilikuwa vinauzwa 2,000,000= sasa hivi ni zaidi ya 12,000,000.
Walipeni wenzenu ili wakaanze Maisha upya siyo mnakaa ofisini ili kuwachonganisha Wananchi na Serikali Yao.
DETAILS
MKOA: DODOMA
WILAYA: DODOMA JIJI
KATA: MSALATO
MRADI: 220 KV RING CIRCUIT
MWENYE MRADI: TANESCO
Naomba niwakumbushe tena TANESCO juu ya hili Jambo màana watu wanateseka sana.TANESCO narudia tena, Walipeni hawa Ndugu Stahiki zao au mnataka kufanya Malipo Bwana akisha watwaa kama ilivyotokea pale sub-station kwa Baadhi ya waliokuwa wanadai na kama hamna Fedha ya kulipa waambieni Wananchi ukweli.