pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Sio kweli, hakuna huduma yeyote zaidi ya uwongo na ahadi zisizotekelezekaNiwape maua yenu tu, ukipiga simu huduma Kwa wateja unahudumiwa vzr sana,
Big up
Wanakupa namba ya taarifa, lakini hawaji ng'oSio kweli, hakuna huduma yeyote zaidi ya uwongo na ahadi zisizotekelezeka
Tanesco ni wahuni kama wahuni wengine tu, sema wao wako officially tu
Kweli kabisa, wamekuja baada ya wiki mojaWanakupa namba ya taarifa, lakini hawaji ng'o
Na kwenye joto ni hapaliki, hapalaliki, na hata KUSHENYENTA huwezi.Kweli kabisa, wamekuja baada ya wiki moja
Siku saba, gizani, jotoni
MITA huwa ni muda gani kuletewa baada ya kuharibika ? Nimetoa taarifa ina siku 9 Sasa ..na bado hawajaletwa..kwani ni siku ngapi kuletewa kwake? Wapangaji wananisumbua sanaHizi mita.zenu mpya za edmi zinakula umeme haraka.sana. ni.kwanini unit moja yaumeme inafikia shs 329 hapa dsm shida iko wapi.
Nani anafanya pricing huko Tanesco. Wananchi tunaumia.sana.chini.ya.tanesco ccm
Habari octavier, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie namba ya taarifa/tiketi kwa msaada zaidi. ^GKNa
MITA huwa ni muda gani kuletewa baada ya kuharibika ? Nimetoa taarifa ina siku 9 Sasa ..na bado hawajaletwa..kwani ni siku ngapi kuletewa kwake? Wapangaji wananisumbua sana
Habari octavier, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie namba ya taarifa/tiketi kwa msaada zaidi.
Umeandika kwa hisia Sana.TANESCO MTAA WA RAHA NA MUHONDA KARIAKOO TUMEWAKOSEA NN KIKUBWA HIVYO TANGU TRH 14 DEC 2024 KILA SIKU LAZIMA MKATE UMEME HAMJUI TUNATESEKA?
KAMA KUNA JAMBO LILITOKEA TUJULISHENI ILI TUELEWE NAMNA YA KUJITETEA NDG ZANGU!
Habari Allen Kilewella ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, hatujapokea taarifa ya katizo la huduma ya umeme maeneo hayo, tafadhali tufahamishe namba ya simu kwa msaada zaidi.^AMUmeandika kwa hisia Sana.