kiasi 5,000
namba :0687237985
muda : mida ya saa 1:15 jioni

sijapata token nimenunua kwa namba hiyo
 
Wakazi wa Chanika Mgeule tunaomba kuletewa huduma ya umeme jamani, wakazi wa huku tumetengwa.
 
Mimi naishi Dar lakini kule Kigoma wilaya ya Buhigwe nina nyumba katika kijiji cha Muyama. Kwa mwezi natumia kama unit 25 tu, niliwaambia TANESCO waniweke kwenye matumizi madogo mpaka Leo Kimya.

Namba ya mita yangu ni 44100124625 na juzi tu tarehe 2 Novemba nimenunua umeme wa 9000 nimeambulia units 25.3
 
naomba kushughurikiwa tatizo langu tafadhari nipp gizani
 
Hivi sheria inasemaje,,tanesco inapoingia kwenye shamba la mtu na kukata miti na kupitisha wire au kuweka nguzo pasi na kumjulisha mwenye eneo ?
Kama kuna njia ndogo za kusambaza umeme hazina madhara kwa shughuli za kijamii maana hata aridhi haijachukuliwa,hivyo kama unalalamiko dhidi ya hilo andika barua kwa meneja wa eneo lako utapatiwa hfafanuzi
 
naomba kupatiwa token za umeme tangu jana nimenunua umeme wa 5000 tangu jana bado haujaingia hadi sasa

kiasi : 5000
namba : 0687237985
tarehe : 04/11/2017
muda : 7:15 jioni
 
naomba kupatiwa token za umeme tangu jana nimenunua umeme wa 5000 tangu jana bado haujaingia hadi sasa

kiasi : 5000
namba : 0687237985
tarehe : 04/11/2017
muda : 7:15 jioni
Ukiingiza unaandika nin na namba ya mita
 
Tanesco ni jipu lililoshindikana aisee umeme kukatika imekuwa ni kawaida
 
Mmefanya vizuri kuja humu, samahani naomba kujua, ni vigezo gani vinatumika ili kijiji au mtaa au eneo lolote kupatiwa umeme wa REA?

Alafu mnafanya jitihada gani kudhibiti vitendo vya Rushwa haswa kwa wafanyakazi wa ngazi za chini katika shirika la Tanesco?
 
Hufanyiwa upembuzi wa maeneo yenye watu wengi au shughuli nyingi za kiuchumi kisha kuweka vijiji vyote kwa awamu mfano vipi vitakuwa awamu ya kwanza ya pili na ya tatu, kuhusu rushwa inapande mbili mtoaji na mpokeaji wote wana makosa shirika linawashauri wateja wake kuhakikisha wanatoa taarifa vyombo vya dola pale wanapoombwa rushwa
 
Kilichonisukuma kuuliza vigezo vya kupatiwa umeme wa REA ni kwamba kijiji kimezungukwa na vijiji vyote vina umeme chenyewe kimebaki katikati bila umeme, na hakina kikwazo chochote kijiografia wala kidemografia , hiki kijiji kiko wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, ni kama kilometa moja na nusu hivi kutoka ulipo mji wa Wilaya ya Missenyi, hiki kijiji kinaitwa Mabuye, kimezungukwa na vijiji vya Bunazi, Kabwela , Kassambya , Ghabulanga na Kakindo, vijiji vyote hivi tayari vina umeme ila chenyewe kimebaki katikati bila umeme kila tukifuatilia hatupewi majibu ya kuridhisha sasa kama inawezekana naomba kusaidiwa.
 
Nashukuru kwa majibu mazuri, Mungu awabariki, kuhusu kile kijiji kwa uelewa wangu wa kawaida tayari kina idadi ya kutosha ya wakaazi, pia kina shughuli za kiuchumi za kuridhisha, kana ni suala la kusubiria hawamu basi hilo sina neno, ila naomba kama kutakuwepo na uwezekano wa kufuatilia hilo suala basi tunaomba ifanyike. Nawatakia kazi njema.
 
Tunaomba nambanyalonya simu tuangalie kwenye taarifa zetu kama kipo awamu ipi kisha tutakujulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…