kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Nimelipia umeme kwa njia ya bank (320,960.00)ajili ya kuunganishiwa kwenye nyumba yangu (service line cost) tangu tarehe 04/10/17. Nikaambiwa nisubiri ndani ya siku 30 nitakuwa nimeunganishwa.
Cha ajabu ni kwamba kuna majirani ambao nililipa nao bank siku moja wao wamewekewa umeme tayari mimi mpaka Leo hii kimya! Kuna tofauti gani kati yangu mm na wao wakati tumelipa siku moja na tunaishi mtaa mmoja na nguzo ipo umbali wa mita 9 tu. Naombeni majibu TANESCO
Nipo kigamboni mtaa wa magogoni makaburini.
Jina :ALLY SHABANI SHOMARI SHOMARI
Namba ya simu: 0717 305 301