Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakikata kuna auto generator, hakuna atakaejua kua hakuna umeme.Kuna usemi kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaa!
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme kwa muda sasa lakini hakuna kauli yoyote toka "juu" angalau ya kututia moyo kwamba tatizo la kukatika kwa umeme "litakuwa historia!"
Inawezekana kabisa kule 'juu" umeme haukatiki, naomba "mkata umeme" ujifanye umekosea basi kaukate hata kwa dakika 10 ili angalau kauli itoke ya kututia moyo! Inakera sana!
Kuna usemi kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaa!
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme kwa muda sasa lakini hakuna kauli yoyote toka "juu" angalau ya kututia moyo kwamba tatizo la kukatika kwa umeme "litakuwa historia!"
Inawezekana kabisa kule 'juu" umeme haukatiki, naomba "mkata umeme" ujifanye umekosea basi kaukate hata kwa dakika 10 ili angalau kauli itoke ya kututia moyo! Inakera sana!
Duh, nani atamtonya mkubwa jamani?Umeme ukikatwa huko unaposema wewe wala hawatajua kwa sababu wala generators stand- by za kutosha
Mkuu laana ya ukabila itakutesa sana.Jaribu kubadili hii tabia ya kuwaza ukabila na ukanda kila mara.hivi na huko kwao mwanza umeme huwa unakatika?
Hicho ndio kinachokera sana, badala ya kutuambia ukweli wanaficha tatizo! Huyu mkubwa alikuwa anaponda JK akidhani mambo yalikuwa rahisi, sasa hivi utapewa reason nyingine endapo tatizo limetokea!Halafu wanasema sio mgao ni ubadilishwaj wa nguzo zilizo chakaa. Tanesco mungu anawaona lakini.!
Ni watu wachache sana humu watakuelewa unachosema lkn huo ndy ukweli .....mkuuMgao upo jamani, hali ya maji mtera, kidatu, kihansi si nzuri na production imeshuka sana. Private sector ndiyo hivyo tena serikali imeipiga kibuti, hakuna Symbion wala IPTL. Nchi haina reserved power sources, load kila siku inaongezeka na vituo vingi vya thermal (Gasi na mafuta) na kile cha Nyakato-Mwanza vinazalisha chini ya uwezo wake sababu ya ukosefu wa vipuri. Tuna kazi kubwa kweli.
Vipi Arusha hali ikoje uko??
Ndugu mpendwa mtejaHuduma ya maswala ya dharura ni mbovu kupindukia, kwa mfano mimi nyumba yangu ipo Boko, ilikuwa na tatizo la umeme kwenye nguzo na nimewapigia simu TANESCO Tegeta zaidi ya mara kumi na mara tano kwa Meneja wao ambaye hakudiriki kupokea japo moja ya simu zangu. Marekebisho yalifanywa siku ya tano baada yamimi kuchukuwa maamuzi magumu. Bado matatizo ni makubwa.