Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme umeanza kurejea mpendwa mteja
Sehemu kubwa bado. tatizo ni nini. lazma tujulishwe sisi wana viwanda.Umeme umeanza kurejea mpendwa mteja
Umenunua au unabwabwaja tuUnauzwa kwenye mpesa kama kawaida. Acheni ubabaishaji...
Pole my dear upo mjini?Tanesco mna shida gani, mmetulaza gizani, mmetulaza kwenye joto, tumeshindwa kwenda kanisani coz hatujanyoosha nguo... Huwa mna matatizo gani lakini?
Huko kwenu kuna umeme, huku nilipo haupo tangu jana saa tatu usiku....Heri ya pasaka wana-jf. Naomba mnisaidie mawazo ni wapi umeme wa luku unapatikana leo maana kwenye mpesa naona huduma haipo muda huu. Nikilaza watu gizani leo hawatanielewa.
Nunua umeme kwa njia ya Airtel moneyHeri ya pasaka wana-jf. Naomba mnisaidie mawazo ni wapi umeme wa luku unapatikana leo maana kwenye mpesa naona huduma haipo muda huu. Nikilaza watu gizani leo hawatanielewa.
NimenunuaUmenunua au unabwabwaja tu
Tumia TigoPesa mkuu kuna mabadiliko ya kimfumo hao hawaja update mifumo yao kwenda na mfumo mpya wa serikali.Aisee najaribu kununua umeme lakini haiwezekani nimenunua kwa m pesa nimeshindwa nikaenda selcom napo wameshindwa na maxmalipo pia sijuw nifanyeje