bongo soft guru
Member
- Nov 17, 2015
- 97
- 23
Nikiingiza umeme kwenye Customer Interface Unit,inaniambia reject 19,tatizo ni nini?Hakuna gharama yeyeote mpendwa mteja wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiingiza umeme kwenye Customer Interface Unit,inaniambia reject 19,tatizo ni nini?Hakuna gharama yeyeote mpendwa mteja wetu
Huko ni uswahilini na walituomba tusiziwashe tutawaharibia mishe zao. Tuliheshim mawazo yaoKuna eneo la Mtaa wa Kigogo Kati wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salam liliwekwa nguzo zenye taa miaka takriban mitano iliyopita! Jambo la kushangaza ni kwamba umeme uliwashwa siku moja tu kwa majaribio na tangu wakati huo haujawashwa tena, hadi baadhi ya nguzo zimeanza kuoza na zitaanguka wakati wowote!
Tatizo ni nini? Kwa nini umeme haujawahi kuwashwa kwa kipindi chote hicho? Ina maana hamna kitengo cha Survey kugundua dosari?