Wakazi wengi wa Kimondolosi, wilaya ya Arusha mjini mpaka sasa bado kuunganishiwa umeme ingawa wengine wanazaidi ya mwezi wameshalipia garama za kuunganishiwa lakini bado kupata huduma hiyo.Nguzo na nyaya zilishawekwa ila kuwaunganishia wananchi bado ni tatizo,na mbaya zaidi wapo wachache wanaounganishiwa kimya kimya bila uwazi.Ni vizuri kama shirika muwe wazi ni kitu gani kinachokwamisha zoezi hilo;kama tatizo ni vifaa wananchi wajue.Sio leo mwingine analipia anaunganishiwa na wale waliolipia zamani mpaka leo hawajapata huduma.
Naambatanisha link ya ahadi iliyotolewa na mheshimiwa waziri:
www.nishati.go.tz