Kama mjibu hoja ni wa tanesco basi nipo tayari kutoa ushirikiano, actually nlikasirika nikataka kuchomoa betri kwa waziri moja kwa moja maana nina namba yake,
Mi naishi kwenye nyumba yangu, nimetumia umeme miaka 3 kwa matumizi ya tarrif 4, nikashangaa ninehamishwa kimya kimya kwenda matumizi makubwa, kuuliza nikaambiwa nlitoka kabla ya miezi mitatu kuisha, eanataka wanirudishe katika kipindi cha matazamio cha miezi 3, swali langu nikawauliza mkifanya wastan wa matumizi yangu kwa miezi 36 toka nimeanza kutumia mnafikiri haitoshi kuruleout matumizi yangu yanaangukia wapi, actually tulizozana hadi kwa meneja na sikupata majibu tofauti, ikabidi niwe mpole sikununua umem miezi 2 sababu uliopo ulikuwa haujaisha, ila wa tatu nikanunua, nikasubiri mwezi uishe niende kuomba niondolewe tarrif 1, kwenda tanesco nikaambiwa eti nlitakiwa kununua kila mwezi ili wajue matumizi, nikawambia simuangalie kwa kipindi chote nimetumia unit ngapi mfanue wastani kwa 3, mtajua matumizi yangu ni gani, sikutaka kubishana nao, nikanunua umeme wa elf 9 nikasepa. Sass nikatuma bwanamfogo wangu naye yupo tanesco kwends kushugulikia basi wakamwambia ukitaka tukuondoe tupe elf 20, actually nlipanic nikataka kushtaki kwa waziri tena ila dogo akanipoza akasema atashugulikia. But kama kuna mhusika wa tsnesco nipo tayari kumtajia hadi alomwomba hiyo hela coz ningekuwa na uwezo wa kulifuta shirika hili ningelifuta maramoja sababu customercare ni zerooooo, huduma zao zimejaa ujanja ujanja wizi na utapeli tanesco ni kati ya mashirika machache ya kiserikali yaliyojaa rushwa na wizi mkubwa kwa watendaji wake