TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
- #7,701
Umelipia lini? Jina? Wilaya namba ya simu tafadhaliHapa tuwekeeni number za simu za Muh Medard Kalemani mwenyewe, Aje atujibu wapiga kura wake tatizo la Nguzo kwa waombaji waya wa umeme likakwisha lini, mwenyewe akisema tuombe kuunganishiwa umeme ndani ya siku 14 tutakua tumeunganishiwa umeme. Sasa kwa hili tatizo la nguzo huku mikoani kwakweli linahitaji majibu yake. Tunasubiri sana kuunganishiwa umeme, kama maneno yake yalikua ni siasa basi nivema atueleze sasa au Muh Raisi atoe kauli nyingine tofauti na ya waziri wake.
Sent using Jamii Forums mobile app