Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Tanesco watoe ratiba ya mgao ili wajasiriamali tuweze kujipanga. Wanatufanya tunapoteza muda bure. Walikuwa wanatupa updates kupitia njia tofauti ghafla wamekuwa kimya na umeme unakatika. Wapi customer care dept??? Kupata taarifa ni haki yetu ya msingi kama wateja wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mvua na Umeme kukatika ?
Too general mbona huwa mnasema ni maeneo yepi na kwa tarehe na muda gani. Ili tuweze kutumia muda wetu kwa tija sio kukaa kusubiri kama nabahatisha, hata ikibidi kutupa taarifa on a daily basis tupewe. Hii ya jumla jumla haitusaidii.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
DESEMBA 17, 2020
TAARIFA YA MATENGENEZO KATIKA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU, KINYEREZI II NA SONGAS.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna matengenezo katika Kituo cha Kufua Umeme kwa maji cha Kidatu na Vituo vya Kufua Umeme kwa Gesi Asilia vya Kinyerezi II na Songas.
Kutokana na matengenezo hayo, baadhi ya maeneo nchini yataathirika kwa kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti.
Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na kazi kuhakikisha mashine zinatengemaa haraka.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au kudondoka chini.
Toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu nawe, au wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - Kitengo cha Miito ya Simu 0222194400 na 0768 985100
Mitandao ya Kijamii :
Website:
www.tanesco.co.tz
Instagram: tanescoyetu
Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz,
Twitter: www.twitter.com/tanescoyetu
Facebook: Tanesco Yetu
Imetolewa na;
OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU.
Hili ni tangazo kwa ujumla kila eneo linaloathirika taarifa hotolewa kwa wateja husikaToo general mbona huwa mnasema ni maeneo yepi na kwa tarehe na muda gani. Ili tuweze kutumia muda wetu kwa tija sio kukaa kusubiri kama nabahatisha, hata ikibidi kutupa taarifa on a daily basis tupewe. Hii ya jumla jumla haitusaidii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezeni outlets kwasababu hio taarifa haifiki kwa muda kwahiyo mgao unatushtukiza na maeneo mengi hakuna info kwa mfano mimi ni msikilizaji mzuri tuu wa radio but kwenye radio au hata TV kumekuwa kimya safari hiiHili ni tangazo kwa ujumla kila eneo linaloathirika taarifa hotolewa kwa wateja husika
Tumepokea ushauri asante sanaUSHAURI
Anzisheni mfumo ambao mtu akinunua vocher/umeme unaingia moja kwa moja kwenye mita yake
Sioni hiyo technologia ikiwa ngumu/ghali; hata ma IT wa hapa ndani wanaweza kutengeneza na kama mnaona hawana viwango; nunueni hiyo program mbona ni ya kawaida sana hata mitandao ya simu inawapita;
1. Fikiria unawawekea umeme wazee kijijini na macho hayaoni vizuri etu wakaweke tarakimu 20 kutoka simu ya tochi?
2. Au pengine umeacha watoto nyumbani umeme unakatika; ni hadi wawe na simu na wajue kutumia nk
3. Umeme umekatika (usiku) sijui ndio ukatafute battery au uende kwa jirani kuomba ndio uweke; ukweli ni mambo ya mwaka 47- tumepitwa na wakati
Naomba mboreshe ili muondolee adha wateja
Acheni ujinga bwana. Umeulizwa kwann umeme unakatika masaa matano unasema upewe jina hivi mna akili kweli?Huduma bora inaanza na utoaji wa taarifa kamili hapa au inbox kwani ni wajibu wetu sisi kupokea taarifa kamili kuzifatilia nchi nzima na kuhakikisha mteja wetu amepata huduma stahiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza hivi makusudi kabisa na fomu nilishachukua toka mwaka jana lkn ilipofika ofcn kwenu ilipotea nikajaza nyingine tena mwezi April lkn watu wanaotakiwa kufanya makadirio halisi walishakuja toka mwezi Jully na kutoa majibu ya uhitaji wa nguzo mbili lakini mpaka leo hakuna kilicholetwa nimeshakuwa wakujibiwa tu kuwa mnafanyia kazi taarifa zangu kuniliwaza tu ili siku ziende kiukweli hili shirika lilianzishwa kwa malengo mazuri tu lkn baadhi ya watendaji hamuwajibiki kwa wananchi ambao ndio walipa kodi na kufanya shirika liendeleee kuwepo, Naitwa OSCAR MKANDYA JOHN Nipo Buchosa Sengerema kata ya Nyanzenda mtaa wa Kome namba ya simu ni 0768145634Chukua fomu upimiwe na kupew makadirio halisi,nguzo haziuzwi na mteja halipi nguzo wa kifaa chochote cha kumuunganishia umeme
Kwaninu ulichukua fomu mara mbili? Hii ni moja ya sababu kuchelewa kwa kuwa umeanza upya,Wateja waliombali na miundombinu wanashauriwa kusuburi iwafikieNimeuliza hivi makusudi kabisa na fomu nilishachukua toka mwaka jana lkn ilipofika ofcn kwenu ilipotea nikajaza nyingine tena mwezi April lkn watu wanaotakiwa kufanya makadirio halisi walishakuja toka mwezi Jully na kutoa majibu ya uhitaji wa nguzo mbili lakini mpaka leo hakuna kilicholetwa nimeshakuwa wakujibiwa tu kuwa mnafanyia kazi taarifa zangu kuniliwaza tu ili siku ziende kiukweli hili shirika lilianzishwa kwa malengo mazuri tu lkn baadhi ya watendaji hamuwajibiki kwa wananchi ambao ndio walipa kodi na kufanya shirika liendeleee kuwepo, Naitwa OSCAR MKANDYA JOHN Nipo Buchosa Sengerema kata ya Nyanzenda mtaa wa Kome namba ya simu ni 0768145634
Upo mbali na miundombinu unashauriwa kusubiriTanesco kila nikija hapa kueleza kero yangu mnanijibu kuwa mmpokea taarifa zangu kwa hatua zaidi inakuaje mtu amejaza fomu ya kuhitaji umeme toka mwezi april na serveyer wameshakuja na wlitathimini wakaona kuna uhitaji wa nguzo mbili hadi kunifikia nilipo lkn hadi leo hakuna nilichokiona wala nn na mmekuwa na majibu simple sana ya kumrudhisha mteja ila uhalisia wa majibu yenu na ktk kutenda ni tofauti sana , naitwa OSCAR MKANDYA JOHN nipo Buchosa-Sengerema -Mwanza kata ya nyanzenda kitongoji cha kidete mtaa wa kome ktk hili kiukweli hamnitendei haki ni bora mkaliweka wazi kuwa mmeshindwa kunihudumia nikatafuta njia zingine za kupata umeme hata wa solar kuliko kila wiki nikija hapa mnanijb yaleyale tu na hamyafanyii kazi tunapataje maendeleo kwa mfumo huu??
Ile ya kwanza walinipa lkn haikuingizwa kwenye mfumo wao na nilipouliza wakadai ile niliyochukua ilitoka kimakosa ikanibidi kujaza nyingine mwezi april hv kweli kutoka mwezi jully walipokuja kutoa tathimini imekuwa ni kigezo cha kucheleweshwa huduma???Kwaninu ulichukua fomu mara mbili? Hii ni moja ya sababu kuchelewa kwa kuwa umeanza upya,Wateja waliombali na miundombinu wanashauriwa kusuburi iwafikie
Ndo mseme sasa nisubiri hadi ln maana kama ni kusubiri nimesubiri sana na huduma zenu ziko slow sanaUpo mbali na miundombinu unashauriwa kusubiri
Fomu ikishatolewa kupitia mfumo inakuwa kwenye mfumo muda woteIle ya kwanza walinipa lkn haikuingizwa kwenye mfumo wao na nilipouliza wakadai ile niliyochukua ilitoka kimakosa ikanibidi kujaza nyingine mwezi april hv kweli kutoka mwezi jully walipokuja kutoa tathimini imekuwa ni kigezo cha kucheleweshwa huduma???