Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu mtejaKwan leo wanekata tz nzima nn???? Au wanatuhamisha kijanjaa
Mshatudharau sana waTz!Habari ndugu mteja
Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
TANESCO Kuomba radhi ni jambo moja lakini kutupatia taarifa ya kwanini kumekuwa na hali hii ni njambo lingine hivyo tunaomba taarifa ya kwanini hali hii imeanza kujirudia tena?Habari ndugu mteja
Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
Nataka kuunganishiwa umeme mkoani Kilimanjaro maeneo ya vijijini MaranguNdugu Mteja!
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Namba ya simu
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya meter
Tatizo
makao makuu 0748550000
Ndugu Mteja!Nataka kuunganishiwa umeme mkoani Kilimanjaro maeneo ya vijijini Marangu
Zifuatazo ni gharama halisi za kuunganishiwa umeme kuanzia tarehe 5/01/2022Nataka kuunganishiwa umeme mkoani Kilimanjaro maeneo ya vijijini Marangu
Mpendwa mteja, Ahsante kwa kutuandikia. Hatua uliyofikia unatakiwa kuwasiliana na mkandarasi wako kwa kukuchorea mchoro na kukamilisha kutuma ombi la umeme. Karibu ^SKNimefikia hapa, natakiwa kufanya nini chief?View attachment 2507561