Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mbona mnakata sana umeme hadi kero au ndo mama yenu anawatuma mkate umeme hovyo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mteja pole kwa changamoto, tunaomba namba ya simu kwa usaidizi tafdhali.^OK
Jiranii ni kweli nyakato wamezidi kutukatia umemePamoja na kuwa kuna mgawo wa umeme hapa Mwanza ni zaidi hasa maeneo ya Nyakato National, Mahina, Mwananchi. Kila siku umeme unakatwa tangu saa 12.30 asubuhi na unaporudi saa 1.00 jioni pia kufika saa 4.00 usiku tena unakatwa mpaka saa 8.00 usiku ndipo unarudi na kuzimwa tena saa 12.30 asubuhi. Nilitembelea Shinyanga siku saba mfululizo hawajakatiwa umeme. Nawauliza ndugu zangu waTANESCO Mwanza hasa maeneo ya Nyakato National, Mahina, mwananchi tumewakosea nini?.
Kuna swali nimeulizia hapo namba #13814,mbona hamlijibu?Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tunapenda kufahamu changamoto yako tukuhudumie tafdhali.^OK
Mim pia nipo kwimba huku kata ya mhande ,umeme una siku 3 haujarudi ,Bora nihamishe biashara zangu wilaya ya kahama tu,mashine haifanyi kazi bila umemeKama Meneja TANESCO KWIMBA upo hapa Mungu akulipe unachostahiki na kiukweli Huyo aliekuteua laiti Angelina ungepewa hata ufagiaji tu Maza raia umeniozeshea samaki wangu nyau wewe
Halafu kuna machizi kwenye uchaguzi bado yatachagua ccmTanesco Temeke kituo Cha yombo sigara.tupatiene ratiba ya mgao wa umeme,ili wateja wenu tuwe tunajua.Kwa mfano leo ni African super league day,mnyama anakiwasha na Al Ahaly huko Lupaso, lakini umeme umekatwa,wapenda soka wanashindwa kufuatilia.acheni kiburi na jiongezeni Bwana,
Ndugu mteja pole sana kwa usumbufu huo, tafadhali tupatie majina yako, namba ya simu, wilaya , kata na eneo unalopatikana kwa msaada zaidi ^EBMimi naishi simiyu nina tatizo la umeme nyumbni kwangu tokea jana limoti yangu inaandika 000000000 kama vile umeme haupo ila kwa majirani upo kwangu tu ndo haupo nimejaribu kuwapigia wa emergency katika mkoa wangu sijafanikiwa kuwapata namba zao zote hazipatikani. Je kwa ili tatizo nitumie njia gani ili niweze kupata umeme tena. Nakumbuka kwa kipindi cha nyuma lilijitokeza tukawapigia emergency wakaja wakatengeneza leo limejirudia tatizo ni nini nisaidieni