Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
TANESCO njooni mjibu hukuMnyonge mnyongeni haki yake mpeni....kweli JPM aliwanyoosha......Mimi sijawahi kuwa mshabiki wa JPM.. na tangu aingie madarakani sijawahi kukaa gizani kiasi hiki.....huku mitaa ya Dodoma sehemu kubwa hakuna umeme na sasa yameshapita masaa matatu....eti kisingizio mvua iinyesha kidogo mara ukakatika....haijawahi kutokea for 5 years naapa...... sasa wameanza kabla hata hajazikwa .... naona wanaturudisha zama za wataalam wa kutapisha maji mtera