TANESCO njooni mjibu hukuMnyonge mnyongeni haki yake mpeni....kweli JPM aliwanyoosha......Mimi sijawahi kuwa mshabiki wa JPM.. na tangu aingie madarakani sijawahi kukaa gizani kiasi hiki.....huku mitaa ya Dodoma sehemu kubwa hakuna umeme na sasa yameshapita masaa matatu....eti kisingizio mvua iinyesha kidogo mara ukakatika....haijawahi kutokea for 5 years naapa...... sasa wameanza kabla hata hajazikwa .... naona wanaturudisha zama za wataalam wa kutapisha maji mtera
Mshaanza sifa za kijinga....Unataka kutuambia kipindi cha JIWe umeme ulikuwa haukatiki?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....kweli JPM aliwanyoosha......Mimi sijawahi kuwa mshabiki wa JPM.. na tangu aingie madarakani sijawahi kukaa gizani kiasi hiki.....huku mitaa ya Dodoma sehemu kubwa hakuna umeme na sasa yameshapita masaa matatu....eti kisingizio mvua iinyesha kidogo mara ukakatika....haijawahi kutokea for 5 years naapa...... sasa wameanza kabla hata hajazikwa .... naona wanaturudisha zama za wataalam wa kutapisha maji mtera
Ndio zao sanaKwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external,. maziwa, Hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo tunakutana na adha hii.
Leo tarehe 26/02/2021 umeme haukarudi mpaka saa 5 za usiku niandikapo taarifa hii...na hatujui utarudi saa ngapi.
Tunaomba tutangaziwe kama ni mgao au uzembe au hitilafu.
#Kuna siku mtanikumbukaKwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external,. maziwa, Hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo tunakutana na adha hii.
Leo tarehe 26/02/2021 umeme haukarudi mpaka saa 5 za usiku niandikapo taarifa hii...na hatujui utarudi saa ngapi.
Tunaomba tutangaziwe kama ni mgao au uzembe au hitilafu.
nna wasiwasi na Tv na friji... nilikuwa nimelala nikasikia kama mlipuko.. ngoja kesho tutajuaSisi wakazi wa kimara tumekumbwa na hali ya mlipuko na shoti mithili ya transformer kulipuka au shoti ya muingiliano wa phase.
Tuna mashaka na kuunguziwa vifaa vyetu kama TV, friji nk, kufuatia tatizo hill kujitokeza.
Tunaombeni taarifa rasmi na kujua ukubwa wa tatizo ili tuweze kujiandaa na hasara za biashara na vyakula vyetu kwenye friji.
Kimara au wap,? maana hapa nlipo bado gizaMbona umeme umekataa dkk 5 ukarudi
Sisi tulilala gizà baada ya hitilafu ya jana transfomer iliunguaMbona umeme umekataa dkk 5 ukarudi
Hata Arusha nako umeme unasumbua sana, hasa maeneo ya unga Ltd na soko mjinga.
Kosa tar 17.3 mungu hakumuona HangayaHii waione wale wanaosema kipindi cha Magufuli kulikuwa hakuna mgao wa umeme
Hizo zinaitwa sifa za kijinga Wakati ikifika Hadi kipindi makamu wa Rais enzi hizo Samia akiwa Tanga akasema anawapa Tanesco muda mchache mgao uishe Tanzania nzima sasa sijui yeye alikuwa makamu wa Rais kipindi cha Mwinyi au?
Kiufupi CCM imeoza yaani Haina unafuu
Mwingine atakuja anateka anaua ila madaraja anajenga
Mwingine hateki na kuua ila mambo vululuvululu sasa kazi ni kwetu
Wacha tuisome namba
Tufukue kaburi..Kariakoo leo umeme wamekata siku nzima.
Kariakoo sehemu ya uzalishaji na wanakata umeme, halafu wanataka kodi