Uko sawa ila katika mashirika yanazingua nchi hii ni Tanesco,pamoja na kwamba wanafanya kazi nzuri ila wanaleta hasara kubwa sana kwa wananchi.Luku kutokufanya kazi muhanga wa kwanza kupata hasara ni TANESCO,sasa watu wanajifanya wana machungu kuliko wahanga wenyewe....
Hasara usemayo sio ya Tanesco Ni Sisi wenyewe WATANZANIA,ilo ni shirika la Uma mapato yanayopatikana hapo Ni Kwa ajili ya maendeleo ya WATANZANIA Ni kweli kwamba mifumo huwa inazingua lkn walipaswa kulijua ilo mapema na kutafuta backup mapema sio kusuburi mpaka tatizo litokeeLuku kutokufanya kazi muhanga wa kwanza kupata hasara ni TANESCO,sasa watu wanajifanya wana machungu kuliko wahanga wenyewe.
Ifike mahala tukubali sio kila kitu ni hujuma na TANESCO sio malaika. Mifumo kufeli au kupata hitilafu ni jambo la kawaida muhimu ni kupunguza muda wa tatizo ili madhara yasiwe makubwa.
Wanaolaumu utadhani wao wakipewa uongozi basi watafanya kazi kama malaika yaani watakuwa perfect na mifumo itakuwa perfect milele. Muhimu taifa/tanesco kuongeza kuwekeza katika R&D ili mifumo iwe thabiti Zaidi!
Siamini hicho wanachosema. Nachojua tu wanataka kuturudisha huko nyuma miaka 20 back. Bora mwendazake angerudi duh!Hapana inaweza kuwa kweli ni shida za kiufundi na zinaweza kutokea awamu yeyote tu!
Umeme nilio nunua tarehe 17, may unagoma kuingia hadi nimeenda tanesco,nimenunua mwingine. Ko wa mwanzo nisha pigwaMkuu nasoma computer science....katika programming hakuna hitirafu ,na hata virus ni program ya computer inayofanya kazi kwa kuipa ubize computa au kupiga copy au kudelete files muhimu na ni mtu anaeza tengeneza virusi, hebu nirud kwenye point, program ikiandikwa haibadiliki, ni pure number ile, I mean automation is perfect, Kama ilivo 1*1=1 it can't change.
Changamoto huwa ni pale uneunda program kwa Kaz flan na ofisi ikaongeza matumizi au huduma ambazo hujaziprogram, yaan zifanyike manually. Jawabu ni kwamba programmers huwa wanachokonoa system ili wapige pesa ya maintenance, Kwan huwa wanaacha backdoors za wao kuingia na kuedit mifumo, hvo program ni solution ya ku automate shughuli mbali mbali, hazibdiliki na ni lazma mumlipe programmer pesa nyingi Kwan inahtajika solution ya haraka ili Mambo yasisimame,,, believe me namuona mtu akipga pesa ndefu nyuma ya hil tatzo, labda Kama wameuzma ili kuboresha huduma
Surveyor ulimpa Ile elfu ishirini wanayodai kila wakisurvey au ulichomoa?Ahsanteni Sana TANESCO Kwa kunifikia maana jumamosi ya tarehe 15/01/2022 mlifika na kuniunganishia UMEME.
Niliambiwa nikanunue UMEME kabla ya huu wa kuanzia kuisha.
Jana nikafika pale TABATA segerea Sheli Ili kununua UMEME maana Kwa matumizi YANGU Bado nina 5units.
KILICHONISIKITISHA NI KUTAKIWA KULIPA 53,470/=YANI ELF HAMSINI NA TATU MIA NNE NA SABINI.
NIKAULIZA KWA NINI NILIPE HVYO WAKATI METER NI MPYA NA NILIWEKEWA UNITS 10 PEKEE MTOA HUDUMA AKANIAMBIA INAONEKANA NILIPEWA UNITS 150.
AKANISHAURI NIENDE TANESCO PALE TABATA POSTA.
NIKAFANYA HIVYO NIMEONANA NA UONGOZI ILA NIMEAMBIWA HAWANA NAMNA KUNISAIDIA NILIPIE TU HIYO 53,470/ MAANA NINAONEKANA NIPO KWENYE 3 PHASE.
NIKAULIZA KWANI FOMU YANGU YA KUOMBA KUUNGANISHIWA UMEME IMEJAZWA VIPI??NA SURVEYOR ALIJAZA NINI NA MBOJA NIMELIPA ELF 27 PEKEE.
DEOGRATIUS KONDOWE
0714 411041
METER 24 3103 6060 7
TABATA KINYEREZI.