TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

Haya bhana
 
Attachments

  • D7B07F5F-79A7-4912-BBBF-75E65BCF0E13.jpeg
    D7B07F5F-79A7-4912-BBBF-75E65BCF0E13.jpeg
    68 KB · Views: 8
Kama mitambo inakula gesi ili kuuza umeme halafu watumiaji wanashindwa kulipa kutumia umeme maana yake ndo hiyo ...gharama za uzalishaji zinakuwa juu kuliko manunuzi ya umeme.
 
TANESCO inaendelea kupata hasara kubwa kutokana na mfumo wake wa manunuzi ya umeme kuwa na hitilafu kubwa.

Wananchi wanahagaika kupata LUKU bila mafanikio. Matukio ya aina hii yanatokea mara kwa mara siku hizi.
Waneamua kutoa barua kabisa
IMG-20220621-WA0025.jpg
 
Hilo tatizo limeshakua sugu Ila wao wanalizungumzia Kama tatizo la dharura wakati siyo kweli Ni mara kibao tu inatokea na kuwasababishia watu hasara.
 
Hilo tatizo limeshakua sugu Ila wao wanalizungumzia Kama tatizo la dharura wakati siyo kweli Ni Mara kibao tu inatokea na kuwasababishia watu hasara
Yaani ni lazima litokee kila mwaka na hawatafuti ufumbuzi
 
Mimi ni MUHANGA mmoja wapo katika hili siku ya leo 🥲🥲
Mimi lro ndio nlikuwa nimeanza kuangua vifaranga mashine imezima na hasara yake kwa kweli haitaelezeka! wamenirudisha nyuma sana!

Najua wataanza kwa nini hukununua umeme mwingi! wanasahau system.ya kununulia ndio wameipoteza hewani! wao wana raha staff mi unit kibao ya bure hadi elfu 20 huko inasoma! mlaaniwe
 
Mimi lro ndio nlikuwa nimeanza kuangua vifaranga mashine imezima na hasara yake kwa kweli haitaelezeka! wamenirudisha nyuma sana!

najua wataanza kwa nini hukununua umeme mwingi! wanasahau system.ya kununulia ndio wameipoteza hewani! wao wana raha staff mi unit kibao ya bure hadi elfu 20 huko inasoma! mlaaniwe
Na hawa laana zitawapata kweli kweli.
 
TANESCO inaendelea kupata hasara kubwa kutokana na mfumo wake wa manunuzi ya umeme kuwa na hitilafu kubwa.

Wananchi wanahagaika kupata LUKU bila mafanikio. Matukio ya aina hii yanatokea mara kwa mara siku hizi.
Ni harakati za kuifanya Tanesco kuonekana imeshindwa kujisimamia.. soon ubinafsishaji utaanza
 
Back
Top Bottom