TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

TANESCO inaendelea kupata hasara kubwa kutokana na mfumo wake wa manunuzi ya umeme kuwa na hitilafu kubwa.

Wananchi wanahagaika kupata LUKU bila mafanikio. Matukio ya aina hii yanatokea mara kwa mara siku hizi.

Mtandao wa LUKU waharibika nchi nzima na Muda mfupi ujao utasikia Jengo la Tanesco limeungua .​

Tanesco mnirudishie pesa zangu nimenunua umeme wa sh. 5000 saa 4 usiku kuptia Airtel money pesa mmechukua lakini nimelala gizani mpaka kumekucha mpaka sasa hamjanitumia token rudisheni Hela yangu HARAKA.
 
Mimi pia.
 
Ndio nikichukia nanunua umeme hata wa laki, hii nchi inatutesa sometimes
 
Back
Top Bottom