Hilo la Tanesco ni kiashiria tu ya hatari iliyopo duniani kutokana na uwezekano wa mashambulizi ya kimtandao (cyber attack), tatizo watu wanaponda tu huwezi jua huo mfumo umekuwa hacked. Ndo maana serikali na taasisi kubwa za kimataifa zikiwemo za fedha na huduma mbalimbali zimefanya majaribio (cyber attack simulation) ili kuona madhara ya kijamii yanayoweza kujitokeza ikitokea mashambulizi ya kimtandao kwenye mifumo na namna ya kukabiliana nayo.