Dogo unavituko.Acha nikabembee kwenye nyaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo unavituko.Acha nikabembee kwenye nyaya
Watafikishwa na nani sasaWafanyakazi wa shirika hili wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa taifa
AiseeKina Accumen Mo yarudi tu kwao huko comoro. Yanatuharibia nchi
Mungu alivyo fundi mvua hizi hapa
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusemaShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana katika maeneo yote yaliyoathirika, Shirika linawaomba uvumilivu Wateja wake wote wakati Watalaamu wetu wakiendelea na jitihada za urejeshaji wa mfumo wa Gridi ya Taifa”
View attachment 2893086
Me nashangaa mtu akiiba laki anafungwa wakati kuna majitu yanatakiwa kupigwa kama wezi wanaopigwa na kuchomwa na matairi.Wafanyakazi wa shirika hili wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa taifa
Kabisa na akitokea msenge yoyote akata 10% kwenye huo mradi na kuleta ukiritimba atajwe hadharani tutakwenda kumchukua kwake tutamleta mtaani atakula mkong'oto wa paka mwizi halafu atakwenda jela bila kutetewa.Tanesco kwa ujumla wake ni shida kabisa, taifa litafute mwekezaji mwenye teknolojia pevu ya kisasa asiwe Mwarabu awe Muingereza marekani au Mjerumani, akomeshe ujinga huu, zaidi ajenge mfumo mwingine mpya, taifa liwe na alternatives national grids, ziwe zinasaidiana.
Wote hao wanufaikaWanamharibia ila bado anawaamini.
Huku mtaani raia wanamlalamikia sana tu , kama atakua anajua basi kaamua tu kuwa iwe hivi.
Ila kwa tatizo hili la umeme hana cv nzuri.
Masaa zaidi ya 8 karibu nchi nzima inakosa umeme?Inasikitisha sana
Uko maeneo ya njiro kwa matajiri wa mererani umeme upo ??Nayo ni gani?
Wanatuona manyani hawaMasaa zaidi ya 8 karibu nchi nzima inakosa umeme?
Kwenye nchi za watu waliopevuka akili hii ni sababu tosha kwa baraza kuvunjwa na kuundwa upya.
Kama si hivyo uongozi wote unaweza kuangushwa kwa maandamano ya wananchi wenye hasira
This is too much kwa kweli
Sema tu fisiemu ni mzigo mzitoHili shirika sasa hapana jamani! Jana pia walikata, hizi ni ngonjera tu.