Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema
 
Wafanyakazi wa shirika hili wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa taifa
Me nashangaa mtu akiiba laki anafungwa wakati kuna majitu yanatakiwa kupigwa kama wezi wanaopigwa na kuchomwa na matairi.
 
Kwa hii hali ya umeme niseme tu ni aibu kwa Taifa!

How comes Nchi hatuna hata mfumo wa power back up in case National grid imeleta shida?

Kusema kweli Nchi hii bila kuweka mfumo thabiti wa kuwajibishana maendeleo ya kweli tutayasikia kwenye bomba tu!!

Nawaelewaga sana Wapinzani wanaposema Tatizo ni Katiba.

Huu ujinga ni aibu sasa
 
Kabisa na akitokea msenge yoyote akata 10% kwenye huo mradi na kuleta ukiritimba atajwe hadharani tutakwenda kumchukua kwake tutamleta mtaani atakula mkong'oto wa paka mwizi halafu atakwenda jela bila kutetewa.

Matako sana hawa jamaa.
 
Wanamharibia ila bado anawaamini.

Huku mtaani raia wanamlalamikia sana tu , kama atakua anajua basi kaamua tu kuwa iwe hivi.

Ila kwa tatizo hili la umeme hana cv nzuri.
Wote hao wanufaika

Ova
 
Wanatuona manyani hawa
 
Dar Nzima Hakuna Umeme! [emoji777]
Mwanza Kirumba hakuna umeme[emoji777]
Arusha hakuna umeme[emoji777]
Iringa hakuna umeme[emoji777]
Tunduru - Hakuna [emoji777]
Songwe hakuna umeme[emoji777]
Ruvuma hakuna umeme[emoji777]
Manyara kiteto hakuna umeme[emoji777]
Shinyanga ushetu hakuna umeme[emoji777]
Kibaha maili moja hakuna umeme[emoji777]
Singida Town [emoji777]
Dom Town [emoji777]
Musoma Mara [emoji777]
Mzumbe moro [emoji777]
Soweto mbeya [emoji777]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…