Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

Arusha umerudi. Labda ni kwangu tu? Au inawezekana naota...
Ila umerudi kama 30min ago
 
Arusha umerudi. Labda ni kwangu tu? Au inawezekana naota...
Ila umerudi kama 30min ago
Njiro. Kuna namna imekatika mara 2.
Kipande cha Msola mpk FFU, na kipande cha IAA kuja juu.
Kipande cha IAA kuja juu mpk PPF wakikata ni wamekata. Mnasahaulika.
Ila kipande cha FFU kushuka chini, wanakata kistaa. Walikata saa 12, sahivi usharudi. Siku nyingine hawakati.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ walikata mida flani ila sahivi umerudi. Hiki kipande wakikata hawazidishi masaa 6.
Huko napaelewa sana huko 😁 kwa bosi wangu mtinange hapo lazima umeme uwe mwingi hapoπŸ˜πŸ€£πŸ˜‚
Wasalimie sana pande hizoo
 
Hii ya jioni hii ilikuwa ni janga la kitaifaπŸ˜€. Gridi
 
Huko napaelewa sana huko 😁 kwa bosi wangu mtinange hapo lazima umeme uwe mwingi hapoπŸ˜πŸ€£πŸ˜‚
Wasalimie sana pande hizoo
πŸ˜‚πŸ˜‚ labda sababu ya kituo cha Tanesco, FFU, na Hosp ya Jiji.
Ila mbona kule juu date ya JKT wanakata sana.
 
Tunaishi maisha ya sukari kuficha kabatini na umeme wa kuchajia simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…