Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly ila wengi wanamiliki magenerator kule maana Kila mda unazimwa hadi huruma😁🤣😂Ila kuna bank 😂 na viwanda tele
Matatizo ya Tanesco tatizo ni Wizara na waziri wake au tatizo ni Malkia wa Puerto Rico na genge lake?Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana katika maeneo yote yaliyoathirika, Shirika linawaomba uvumilivu Wateja wake wote wakati Watalaamu wetu wakiendelea na jitihada za urejeshaji wa mfumo wa Gridi ya Taifa”
View attachment 2893086
Hawawezi, wenyewe wanasema ndipo “usalama wa nchi ulipo” by usalama wanajua wanachomaanisha…..Nafikiri hili Shirika tungelibinafsisha na kuwapa private company waliendeshe nasi kama Nchi tuwe tunapokea gawio tu Kila Mwaka.
Maana hichi kinachoendelea ni as if Nchi haina Waziri Mkuu/Makamu ama Rais.
Haiwezekani Umeme ukosekane wakati Maji yamejaa kwenye mabwawa hadi yanaleta mafuriko 🙌
Wafanyakazi wa TANESCO nahisi walifukuzwa kimya kimya wote. Waliopo kazini ni wanafunzi wapo field.Wafanyakazi wa shirika hili wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa taifa
Mwarabu tu ndio ndio anaweza hizi changamoto. Mmarekani aliisha weka mitambo yake hapa lakini shida iko palepale. Hukumbuki Obama alipokuja alifungua mradi wa kuzalisha umeme?Tanesco kwa ujumla wake ni shida kabisa, taifa litafute mwekezaji mwenye teknolojia pevu ya kisasa asiwe Mwarabu awe Muingereza marekani au Mjerumani, akomeshe ujinga huu, zaidi ajenge mfumo mwingine mpya, taifa liwe na alternatives national grids, ziwe zinasaidiana.
Ccm Kwanza, wao ndio wafuate.Wafanyakazi wa shirika hili wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa taifa
Na hivi Sheria ya Usalama wa Taifa imefanyiwa mabadiriko ndiyo balaa 🙌Hawawezi, wenyewe wanasema ndipo “usalama wa nchi ulipo” by usalama wanajua wanachomaanisha…..
Walau basi waipe sekta binafsi baadhi ya operation, ili tupate wakum-hold accountable. Serikali yenu haina jadi ya kuwajibika, tutaendelea kulalamika hadi Masiah arudi.
Btw, Babu ile nyumba yetu ya wageni usisahau kutuwekea generator.