TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

Songea hakuna, mbinga hakuna, namtumbo, hakuna njombe hakuna, humo mwote nimepita ndan ya masaa mawil nyuma
 
Taarifa ipo tata
.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Taarifa ipo tata
.🤣🤣🤣🤣🤣
Taarifa imekaa kijanja janja hivi🤔
 
Kanda ya źiwa hakuna umeme tokea saa tatu. Nimebandika ndizi zangu za utumbo ile sufuria linaanza tu kuchemka mara umeme umekatika. Hapa sina hela ya gas yani inabidi kula migahawani kitu ambacho sipendi.
 
[emoji1787]wakongwe tunasema "jambo limezua jambo"[emoji1787]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hata huku hamna nimekosa huduma muhimu kwaajili ya umeme upuuz tu
 
Daaaah nimecheka saana yaani
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…