TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

Tukibinafsisha mtaanza kulalamika tunauza rasilimali za nchi! Na waraka mtatoa usomwe!
Vitu hamviwezi kuendesha mnang'ang'ana tu, Acha tukae kiza mpaka tushindwe!
 
Shame on you TANESCO! Mwanzoni zilikuwa ahadi kibao, sijui tutaenda kidijitali, sijui tutalipa kwa simu na umeme uende moja kwa moja kwenye mita, ....etc., etc. Mlichojua ni kutafuna pesa tu na kuja na porojo! Shame!
Halafu wajinga kama hawa hutaskia serikali ikiwazungumzia wala kuwakamata ila sasa wewe sema tu mkataba wa bandari ni wa hovyo utashangaa serikali itapotokea hutaamini 🤣
 
Back
Top Bottom