Tanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kusikiliza Wimbo wa Dear Ex mara 60

Tanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kusikiliza Wimbo wa Dear Ex mara 60

Hata hivyo Kaimu Kamanda wa Polisi amesema Jumaa alikuwa Mtumiahi mkubwa wa dawa za kulevya kama vile heroin na pombe kali na hivyo Polisi inaendelea na uchunguzi kuweza kufahamu chanzo cha tukio hilo.
Siku zote majibu ya Polisi lazima yawe ya ajabu ajabu tu, mnafanya uchunguzi na the same time mnasema alikua mlevi wa dawa za kulevya!!
Hata hivyo Kaimu Kamanda wa Polisi amesema Jumaa alikuwa Mtumiahi mkubwa wa dawa za kulevya kama vile heroin na pombe kali na hivyo Polisi inaendelea na uchunguzi kuweza kufahamu chanzo cha tukio hilo.
 
Msongo wa mawazo ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Apumzike kwa Amani kijana wa watu.
 
Angechagua Andazi yeye kachagua ex ona sasa ameng'ata mbao kiboya
 
Shahidi alikuwa makini sana inaonekana
Alisahau tu kuchukuaa video vile akilirudi lingoma lenyewee maana Lina vibe ukickilizia Kwenye mdundo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rip
 
Sisi wengine huku ndio mapenzii yamenoga kama Mtoto na Soda,,Acha Tu niwe Kichaa wa mapenzi lakini kujiua nikaacha ugali,,maziwa mtindi,,dagaa na mboga za majani,,hapana Kwa Kweli!!
Mimi nijiue nimuachie nani mtoto wa mtu? Tukiachana tunarudiana.
Hakuna namna.
 
saa kadhaa kabla ya kujinyonga alisikiliza wimbo wa Dear X kwa takribani mara 60 na alipoambiwa inatosha akachukia na kuondoka.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 ebu kuweni serious jamani khaa 😂😂😂😂😂 kwahyo alipoambiwa inatosha akachukia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah aiseeee
 
Sisi wengine huku ndio mapenzii yamenoga kama Mtoto na Soda,,Acha Tu niwe Kichaa wa mapenzi lakini kujiua nikaacha ugali,,maziwa mtindi,,dagaa na mboga za majani,,hapana Kwa Kweli!!
Na ukamuacha huyo anayekupa utamu wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uckubali mkuu kuutoa uhai wako
 
Huyo ndo ahojiwe huenda kunavitu anajuq😀
"""saa kadhaa kabla ya kujinyonga alisikiliza wimbo wa Dear X kwa takribani mara 60 na alipoambiwa inatosha akachukia na kuondoka""

Hii pia ni nukuu katoa shahidi kutoka humu humu jf 😂😂😂😂😂😂
 
Alisahau tu kuchukuaa video vile akilirudi lingoma lenyewee maana Lina vibe ukickilizia Kwenye mdundo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rip
Bonge la ngoma kiukweli
 
Back
Top Bottom