edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
Waliomkataza kusikiliza hyo nyimbo ndio wahusika wa kifo [emoji23][emoji23]maana wangemuacha asikilizee mpk achoke penginepo angeridhika ...saa kadhaa kabla ya kujinyonga alisikiliza wimbo wa Dear X kwa takribani mara 60 na alipoambiwa inatosha akachukia na kuondoka.[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app