Tanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kusikiliza Wimbo wa Dear Ex mara 60

Tanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kusikiliza Wimbo wa Dear Ex mara 60

saa kadhaa kabla ya kujinyonga alisikiliza wimbo wa Dear X kwa takribani mara 60 na alipoambiwa inatosha akachukia na kuondoka.[emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomkataza kusikiliza hyo nyimbo ndio wahusika wa kifo [emoji23][emoji23]maana wangemuacha asikilizee mpk achoke penginepo angeridhika ...
 
Hata hivyo Kaimu Kamanda wa Polisi amesema Jumaa alikuwa Mtumiahi mkubwa wa dawa za kulevya kama vile heroin na pombe kali na hivyo Polisi inaendelea na uchunguzi kuweza kufahamu chanzo cha tukio hilo.
Siri nzima ya mafanikio iko hapa.........
 
Kuweni serious bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu vinginee mkuu vinachekesha [emoji23][emoji23].ss kwann walimkatazaa kusikiliza hata mara 100 au wangempelekea redio nyumbn kwake wamwekee ngoma yake acheze mpk acheze Tena na km kulia Alie tenaa....

Rip
 
Ukute ex wake alikuwa na show pevu akaona ya nini kuteseka kula kwa macho bora atangulie 🤣🤣🤣
 
Vitu vinginee mkuu vinachekesha [emoji23][emoji23].ss kwann walimkatazaa kusikiliza hata mara 100 au wangempelekea redio nyumbn kwake wamwekee ngoma yake acheze mpk acheze Tena na km kulia Alie tenaa....

Rip
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila humu ndani kila mtu ana akili yake... daaah 😂😂😂😂
 
Yaani kuachwa na mtu mliyekutana ukubwani ndio ujinyonge ufe, PUMBAVU Kabisa, tukemee hizi roho.
 
Yaani kuachwa na mtu mliyekutana ukubwani ndio ujinyonge ufe, PUMBAVU Kabisa, tukemee hizi roho.
😝 inachekesha matatizo ya akili
Fika Tabora mkashuhudie mazwazwa mitaani wakichezea makopo jalalani huku wakijichekesha wenyewe. Matatizo haya anayo pia Shilole, yeye hajinyongi ila anapiga waume zake (viserengeti boys) na kuwatia vidole hadharani kuwadhalilisha. Mziwanda mpaka leo akisikia jina la Shilole tu anatimua zake, akihofia matako yake. Watu wa Tabora wana matatizo sana ya kiakili.
 
apumzike kwa amani, hali ya afya ya akili kwa watu wengi inazidi kuwa serious kwa kweli..!!
Screenshot_20231024_201732_Samsung Internet.jpg

Huduma za afya ya akili hapa kwetu ni kama hazipo; na watu hudhani kuwa mtu kuwa "kichaa" ni mpaka aokote makopo au atembee uchi na kuchokora majalalani. Watu wengi wana msongo wa mawazo, kukata tamaa na wako suicidal lakini hakuna anayejali.

Ishu za mapenzi hizi; na zinginezo mara nyingi ni trigger tu lakini kunakuwa na sababu za ndani ambazo mtu anakuwa amehangaika nazo kwa muda mrefu peke yake gizani bila msaidizi. Halafu akijiua ndiyo tunaanza kumlaumu na hata kumcheka kwamba hakuwa na kifua. Kumbe ni mgonjwa wa akili wa muda mrefu. Sad!
 
HABARI Jumaa Khamisi (32), aliekuwa mkazi wa kijiji cha Kipumbwi Mji Mkuu Wilayani Pangani Mkoani Tanga amejinyonga mpaka kufa huku chanzo kikihisiwa kuwa ni msongo wa mawazo uliosababishwa na kuachana na mpenzi wake ambapo kabla ya kufanya tukio hilo alisikiliza wimbo wa Dear Ex wa Mario takribani mara 60.

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kipumbwi Mji Mkuu, Mwanaidi Abbasi amesema kabla ya tukio hilo Jumaa alifika nyumbani kwake majira ya saa moja asubuhi kufata vitafunio ndipo baadaye jioni alipopata taarifa za tukio hilo la kujinyonga kwa kijana huyo.

Haji Said ambaye ni Rafiki wa marehemu amesema mara ya mwisho kuachana na Jumaa alimuaga anaenda kupumzika lakini hakumueleza changamoto yeyote ambayo inamkabil.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kupitia kwa Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Maketi Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema limetokea October 22,2023 ambapo Jumaa alijinyonga na chandarua kwenye chumba cha mdogo wake hadi kupelea kufariki
#EastAfricaTv
FB_IMG_1698171702582.jpg
 
Back
Top Bottom