Tanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kusikiliza Wimbo wa Dear Ex mara 60

Mi nilisha apa ntamiliki madem 4+ tena hao ndo wa permanent Acha ambao nikimtongoza leo naleo nachapa Acha ao wa bar nawale wa kimboka na sewa
 
Ukishindwa kuweka balance katika Maisha yako lazima utajiumiza au utaumiza watu .

Ukitaka watu ndo wakupe kitu ambacho wewe unaweza kukipata Bure Kama furaha ,Amani ya moyo na upendo Basi utaishi kwa kutokujua thamani yako na hii ndo karata kubwa waliyonayo wanawake wa Tz wanachofanya wanakufanya kukufanya usijue thamani yako. So tuendelee kujifunza MAARIFA ni utajiri
 
too sad hakika Bro,
mtu mpaka akifikia hatua ya kujitoa uhai hakuamka hapo tu na hilo wazo, lilianzia mbaaali mno,
then anakuja kupata 'trigger' as you said, shida yetu watanzania tupo too judgemental, huwa tunaishia kulaumu matokeo hatujawahi kuwa concerned na chanzo hata siku moja..!!
 
Ngoja namimi niufute huo wimbo kwenye kifaa changu.

Nisije kuusikiliza mara 60 kama mwenzangu then nikafanya maamuzi magumu πŸ˜…

Kweli Bongo Nyoso πŸ™Œ
 
Mambo km hya kwenye vikao vyetu huwa hayajadiliwi hili ni tatzo lazima mijadala iwe mipana maana changamoto ni nyingi ili fumbuzi ziwe znapatikana mapema sio kuegemea kwenye masuala ya kutuma nauli na mambo za single mother mf:ni muhimu mtu kufahamu nyimbo km hii ya dear x uisikilize mara ngapi! Ili kuepuka mambo km haya.
 
Tajiri na wewe unateswa na mapenzi😁😁
Mapenzi hayaangalii kipato, yakiamua kukutesa yatakutesa hadi ukonde uwe kama namba 1.

Binafsi nashukuru sijabahatika kuteswa nayo, Mungu huwa ananisaidia Mahusiano yangu yote huwa nainjoi tu πŸ€—
 
Mapenzi hayaangalii kipato, yakiamua kukutesa yatakutesa hadi ukonde uwe kama namba 1.

Binafsi nashukuru sijabahatika kuteswa nayo, Mungu huwa ananisaidia Mahusiano yangu yote huwa nainjoi tu πŸ€—
Kweli huu mchezo wa kuchovya hauna mwenyewe 😁
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kila wimbo una roho nyuma yake. Yaweza kuwa roho ya furaha, huzuni, mapenzi makali, amani, utulivu, hasira uchangamfu uliopitiliza, kumuabudu Mungu, na hata mauti.
Kuna nyimbo ukisikiliza unapata nguvu za ajabu za kufanya kazi, mwingine unakupa hisia kali za mapenzi, mwingine unakufanya upate huruma sana kama zile za Sarafina. Hizo zote ni roho zilizo nyuma ya nyimbo. Kipindi namsikiliza sana Bob Marley nilikua napata mzuka sana wa kuvuta bangi. It was the spirit behind the songs.
Inasemekana black Americans wengi wanao shoot watu, hukutwa kabla ya tukio alikuwa anasikiliza muziki wa Rap.
Leo tumejua kwamba wimbo wa dear Ex umebeba roho ya mauti hasa kutokana na ule ukiri wa "bora kufa" . Sikiliza at your own risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…