Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huko lushoto ni balaaMwenyezi Mungu sidhani anahusika, accident ni kosa la mtu!,barabara zetu ni mbovu mno, magari yetu lini yalifanyiwa proper roadworthy?major service?,tusimlaumu Mwenyezi Mungu
Enzi za Baba Magufuli izi mambo hazikuwa zikisikika kabsaaaa RIP Magufuli
Lushoto mabasi na hizo fuso huwa wanashuka kma wehu,mtu unateremka mlima unaskia honi nyuma za kumpa site apite...Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Jumanne Machi 29, 2022.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Lushoto na majeruhi wapo Hospitalini hapo wakiendelea kupata matibabu.
RPC Jongo ametoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto mkoani humo kuendelea kufuata sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani.
View attachment 2168006
Chanzo: MillardAyo
Roho ya Mauti imeachiliwa panahitajika maombi ya kufunga na kukesha kwajili ya kuvunja hii roho!!!!
Wakati wa JPM barabara zilikuwa nzuri? Mbona ajali zilipungua. Yaleyale ya Tanesco na kukatika kwa umeme.Mwenyezi Mungu sidhani anahusika, accident ni kosa la mtu!,barabara zetu ni mbovu mno, magari yetu lini yalifanyiwa proper roadworthy?major service?,tusimlaumu Mwenyezi Mungu
Mwendazake hakupunguza ajali nenda kaangalie statistics, mnampa credit za uongo tu, barabara zetu ni mbovu tuutambue ukweli huu na tuufanyie kaziWakati wa JPM barabara zilikuwa nzuri? Mbona ajali zilipungua. Yaleyale ya Tanesco na kukatika kwa umeme.
DuhWakati wa JPM barabara zilikuwa nzuri? Mbona ajali zilipungua. Yaleyale ya Tanesco na kukatika kwa umeme.
Nenda katembe huko utajionea barabara zilivyoWakati wa JPM barabara zilikuwa nzuri? Mbona ajali zilipungua. Yaleyale ya Tanesco na kukatika kwa umeme.
Aise nilikuwepo Lushoto mwezi wa pili. Zile Kona kona na yale makorongo. Nashangaa hata hivyo ajari ni chahe aise.Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Jumanne Machi 29, 2022.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Lushoto na majeruhi wapo Hospitalini hapo wakiendelea kupata matibabu.
RPC Jongo ametoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto mkoani humo kuendelea kufuata sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani.
View attachment 2168006
Chanzo: MillardAyo
Wafunge barabara magari yasiitumie tena watu wapande treniAjali Tanzania zimezidi kwa sasa. Ni nini kifanyike?
Yaani wafuate sheria wasipite barabarani au.Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Jumanne Machi 29, 2022.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Lushoto na majeruhi wapo Hospitalini hapo wakiendelea kupata matibabu.
RPC Jongo ametoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto mkoani humo kuendelea kufuata sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani.
View attachment 2168006
Chanzo: MillardAyo
Na katika utitiri wa ajali zote hizi,viongozi wapo na wamekaa kimya kabisa yani utafikiri ni mambo ya kawaida kabisa.Nasikitika kama Taifa tumerudi nyuma sana,swala la uwajibikaji kwa viongozi limeota mbawa.Huu mwaka mmoja wa mama sijui tunasherekea mafanikio yapi!Wiki iliyopita mtu mmoja kama ckosei amekufa baada ya lori scania kuingia nyumba ya mtu.
Jana profesa amepoteza maisha kwa ajali
Leo mbeya wamekufa wanne kwa ajali,
Leo tena tanga watano wamekufa kwa ajali
Kila nafsi itaonja umauti
Nafikiri vyombo vya moto vifanyiwe ukaguzi na matengenezo wa mara kwa mara, na madereva pia wakaguliwe leseni zao, uzoefu na kama hawatumii kilevi.Roho ya Mauti imeachiliwa panahitajika maombi ya kufunga na kukesha kwajili ya kuvunja hii roho!!!!
Haya ulioshauri,ni mazuri sana,sema kiuuwalisia hayawezekani,labda ndotoni tu!! Tanzania bado tuna safari ndefu sana!!Nafikiri vyombo vya moto vifanyiwe ukaguzi na matengenezo wa mara kwa mara, na madereva pia wakaguliwe leseni zao, uzoefu na kama hawatumii kilevi.
Madereva wasibebe mizigo kupita uwezo wa gari, mizigo ipakiwe katika uwiano wa uzito, isiwekwe upande moja zaidi ya upande mwingine, na mizigo ifungwe vizuri, kuepuka kuanguka au kuangukia watumia barabara wengine.
Wakaguzi wa barabara, wafanye kazi yao na kutoa tahadhari kwa watumia barabara, popote penye hitilafu na matengenezo yasichukue muda mrefu.